Uchaguzi Z’bar Februari
UCHAGUZI Mkuu wa Zanzibar unatarajiwa kurudiwa wakati wowote kuanzia mwishoni mwa Februari au mwa
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UCHAGUZI MKUU TASWA KUFANYIKA FEBRUARI 16 MWAKA HUU
10 years ago
Habarileo29 Oct
Uchaguzi Z’bar wafutwa, kurudiwa
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza kufuta matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita baada ya kubainika kujitokeza kwa kasoro nyingi, zilizosababisha kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na haki kushindwa kutendeka.
9 years ago
Habarileo15 Nov
UVCCM Z’Bar yazungumzia uchaguzi
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewataka vijana Zanzibar kutobabaishwa na kuendelea kwa mjadala au mazungumzo ya viongozi wa kisiasa kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu ambao umefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Kufutwa uchaguzi Z’bar kaa la moto
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
UAMUZI wa Serikali wa kutoa tamko la kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar umezua maswali kwa wananchi, huku Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (Zanzibar Law Society), Awadh Ali Said, akisema suala hilo ni la aibu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Amesema hatua ya kushindwa kuainisha vifungu vya Katiba ya Zanzibar kuhusu kufutwa kwa matokeo kwa tamko la mwenyekiti kwa kutaja vifungu vya kisheria visivyohusika ni wazi Serikali imeshikwa pabaya.
Awadh aliyasema hayo...
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Uchaguzi Z’bar wajadiliwa Bunge la Uingereza
. Mbunge ahoji hatua zinazochukuliwa, Waziri aeleza msimamo wa Serikali yao
Na Mwandishi Wetu
HALI ya kisiasa na kufutwa kwa uchaguzi wa urais pamoja na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar hatimaye imetua na kujadiliwa katika Bunge la mabwanyenye la nchini Uingereza.
Uamuzi huo umekuja siku moja baada ya wapinzani wawili wa kisiasa visiwani humo, Rais Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wake wa Kwanza ambaye pia alikuwa mgombea wa urais kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kuendelea na...
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Samia: Tuombee dosari za uchaguzi Z’bar zimalizike
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Marekani yasikitishwa na tamko la ZEC kufuta uchaguzi Z’bar
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Baraza kuu CUF lakataa kurudia uchaguzi Z'bar