Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samia: Tuombee dosari za uchaguzi Z’bar zimalizike

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania waendelee kuliombea taifa amani ili dosari zilizojitokeza Zanzibar zipatiwe ufumbuzi na kupatikana amani na umoja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi TBF waingia dosari

WAKATI Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), likitangaza kufanyika kwa uchaguzi wake mkuu Desemba 28 mwaka huu mjini Dodoma, makocha wa mchezo huo wameibuka na kuliomba Baraza la Michezo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati waeleza dosari zilivyoathiri uchaguzi

Baadhi ya wasomi na wanaharakati wamesikitishwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulivyokuwa na dosari zinazofanana katika maeneo mengi ya nchi na kueleza wasiwasi wao kuwa huenda kulikuwa na njama za kuvuruga uchaguzi huo.

 

11 years ago

Habarileo

'Mutungi tuombee tufanye mikutano'

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mtwara, Kassim Bingwe, amemuomba msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuzungumza na serikali ili ione umuhimu wa kusitisha amri yake ya marufuku ya mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

 

9 years ago

Raia Mwema

Uchaguzi Z’bar Februari

UCHAGUZI Mkuu wa Zanzibar unatarajiwa kurudiwa wakati wowote kuanzia mwishoni mwa Februari au mwa

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

Samia: Watanzania watakiwa kulindana kuelekea Uchaguzi Mkuu

Wakati zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu, mgombea mwenza wa CCM Samia Suluhu Hassan amesema kila mwananchi ana jukumu la kumlinda  mwenzake kipindi hiki cha uchaguzi na endapo mtu yoyote atapata taarifa inayoashiria uvunjifu wa amani atoe  taarifa kwa vyombo husika.

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Z’bar wafutwa, kurudiwa

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza kufuta matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita baada ya kubainika kujitokeza kwa kasoro nyingi, zilizosababisha kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na haki kushindwa kutendeka.

 

9 years ago

Habarileo

UVCCM Z’Bar yazungumzia uchaguzi

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewataka vijana Zanzibar kutobabaishwa na kuendelea kwa mjadala au mazungumzo ya viongozi wa kisiasa kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu ambao umefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

 

9 years ago

Mtanzania

Kufutwa uchaguzi Z’bar kaa la moto

awadhNa Mwandishi Wetu, Zanzibar

UAMUZI wa Serikali wa kutoa tamko la kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar umezua maswali kwa wananchi, huku Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (Zanzibar Law Society), Awadh Ali Said, akisema suala hilo ni la aibu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Amesema hatua ya kushindwa kuainisha vifungu vya Katiba ya Zanzibar kuhusu kufutwa kwa matokeo kwa tamko la mwenyekiti kwa kutaja vifungu vya kisheria visivyohusika ni wazi Serikali imeshikwa pabaya.

Awadh aliyasema hayo...

 

9 years ago

Mtanzania

Uchaguzi Z’bar wajadiliwa Bunge la Uingereza

mtanzaniadaily2 .indd. Mbunge ahoji hatua zinazochukuliwa, Waziri aeleza msimamo wa Serikali yao

 

Na Mwandishi Wetu

HALI ya kisiasa na kufutwa kwa uchaguzi wa urais pamoja na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar hatimaye imetua na kujadiliwa katika Bunge la mabwanyenye la nchini Uingereza.

Uamuzi huo umekuja siku moja baada ya wapinzani wawili wa kisiasa visiwani humo, Rais Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wake wa Kwanza ambaye pia alikuwa mgombea wa urais kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kuendelea na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani