Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI: Kwa nini tusimangwe tusiojua Kiingereza?

>Ona kioja cha nchi hii; mwalimu wa Kiswahili  anafanyiwa usaili kwa lugha ya Kiingereza ili apate kazi. Dereva mzoefu na fundi hodari wa magari anakosa kazi katika mashirika ya umma au yale binafsi kwa sababu hajui Kiingereza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini tusimangwe tusiojua Kiingereza?

Ona kioja cha nchi hii; mwalimu wa Kiswahili anafanyiwa usaili kwa lugha ya Kiingereza ili apate kazi. Dereva mzoefu na fundi hodari wa magari anakosa kazi katika mashirika ya umma au yale binafsi kwa sababu hajui Kiingereza.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?

>Mambo ya kitoto, mtoto kumfanyia mtoto mwenzake, tunasema watoto wanacheza lakini mambo ya kitoto, mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake kuna walakini hapo.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Polisi imejifunza nini vurugu za washabiki wa Guinea?

>Usiku wa tarehe 5 Februari ulishuhudia vioja vya aina yake katika soka la Afrika na pengine aibu ambayo si rahisi kusahaulika katika ulimwengu wa soka.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliofundishwa kwa Kiingereza ni wabunifu zaidi?

LUGHA ni msingi muhimu wa kuchochea maendeleo ya jamii yoyote. Mawasiliano ndiyo chimbuko la maarifa na taarifa. Binadamu anapata maarifa yanayomsaidia kuishi kwa kutumia lugha. Binadamu anapata taarifa na habari muhimu kuhusu jamii yake kutokana na lugha.

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida akataza warsha kuendeshwa kwa kiingereza

 DSC01334

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye ufunguaji wa warsha ya wadau kujadili rasimu ya mwisho ya taarifa ya mpango wa usimamizi na uendelezaji wa pamoja wa rasilimali za maji wa bodi ya maji ya bonde la kati, liyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aquar Vitae hotel mjini Singida.

Na Abby Nkungu, Singida

MKUU wa mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone alilazimika kumtaka mshereheshaji katika Warsha ya Wadau wa Rasimu ya Mpango wa Usimamizi na Uendelezaji wa pamoja wa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Jokate: Lugha ya kiingereza tatizo kwa wanafunzi

Miss Tanzania namba mbili 2006 na mmiliki wa kampuni ya ‘Kidoti’, Jokate Mwegelo aka Jojo, siku chache zilizopita alifanya ziara yake katika shule za secondari jiijini Dar es Salaam kama Jangwani, Azania, Benjamini Mkapa nk na kupokelewa vizuri na Waalimu pamoja na Wanafunzi. Je ziara yako ilifanikiwa kwa kiasi gani na changamoto ipi umeiona kwa wanafunzi?

“Ukweli ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana na Wanafunzi wanapenda sana mziki, huu ni mwanzo tu itakuwa na muendelezo wa kufanya ziara...

 

11 years ago

Mwananchi

Tusiwahukumu wahitimu wetu kwa kutojua Kiingereza

Imekuwa kama ada kwa kila anayetaka kuwakosoa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu nchini, kudai kuwa wahitimu hao hawaajiriki kwa sababu ya kutokujua vilivyo lugha ya Kiingereza.

 

11 years ago

Habarileo

Shule za msingi serikalini masomo yote kwa Kiingereza

WAKATI kukiwa na mjadala kuhusu lugha ipi itumike kufundishia katika shule za msingi za Serikali, kati ya Kiingereza na Kiswahili, tayari baadhi ya shule hizo zimeshaanza kuacha kutumia Kiswahili kufundisha masomo yote na zingine zinajiandaa kufanya hivyo. Kwa muda mrefu tangu Uhuru, shule karibu zote za msingi za Serikali zilikuwa zikitumia Kiswahili kufundishia masomo yote isipokuwa somo la Kiingereza.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiswahili dhidi ya Kiingereza au Kiswahili pamoja na Kiingereza?

Suala la matumizi ya lugha Tanzania limeleta ushindani mzito kati ya Kiswahili na Kiingereza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani