Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliofundishwa kwa Kiingereza ni wabunifu zaidi?

LUGHA ni msingi muhimu wa kuchochea maendeleo ya jamii yoyote. Mawasiliano ndiyo chimbuko la maarifa na taarifa. Binadamu anapata maarifa yanayomsaidia kuishi kwa kutumia lugha. Binadamu anapata taarifa na habari muhimu kuhusu jamii yake kutokana na lugha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ZAIDI ya wabunifu 700 nchini wamepata ajira za moja kwa moja

 Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Watu (HDIF) Joseph Manirakiza kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya wiki ya ubunifu itakayoanza Machi 8 hadi 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith na kushoto ni Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Dr. Amos Nungu. Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith  katikati akifafanua jambo kwa waandishi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini tusimangwe tusiojua Kiingereza?

Ona kioja cha nchi hii; mwalimu wa Kiswahili anafanyiwa usaili kwa lugha ya Kiingereza ili apate kazi. Dereva mzoefu na fundi hodari wa magari anakosa kazi katika mashirika ya umma au yale binafsi kwa sababu hajui Kiingereza.

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida akataza warsha kuendeshwa kwa kiingereza

 DSC01334

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye ufunguaji wa warsha ya wadau kujadili rasimu ya mwisho ya taarifa ya mpango wa usimamizi na uendelezaji wa pamoja wa rasilimali za maji wa bodi ya maji ya bonde la kati, liyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aquar Vitae hotel mjini Singida.

Na Abby Nkungu, Singida

MKUU wa mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone alilazimika kumtaka mshereheshaji katika Warsha ya Wadau wa Rasimu ya Mpango wa Usimamizi na Uendelezaji wa pamoja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa nini tusimangwe tusiojua Kiingereza?

>Ona kioja cha nchi hii; mwalimu wa Kiswahili  anafanyiwa usaili kwa lugha ya Kiingereza ili apate kazi. Dereva mzoefu na fundi hodari wa magari anakosa kazi katika mashirika ya umma au yale binafsi kwa sababu hajui Kiingereza.

 

9 years ago

Bongo Movies

Jokate: Lugha ya kiingereza tatizo kwa wanafunzi

Miss Tanzania namba mbili 2006 na mmiliki wa kampuni ya ‘Kidoti’, Jokate Mwegelo aka Jojo, siku chache zilizopita alifanya ziara yake katika shule za secondari jiijini Dar es Salaam kama Jangwani, Azania, Benjamini Mkapa nk na kupokelewa vizuri na Waalimu pamoja na Wanafunzi. Je ziara yako ilifanikiwa kwa kiasi gani na changamoto ipi umeiona kwa wanafunzi?

“Ukweli ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana na Wanafunzi wanapenda sana mziki, huu ni mwanzo tu itakuwa na muendelezo wa kufanya ziara...

 

11 years ago

Mwananchi

Tusiwahukumu wahitimu wetu kwa kutojua Kiingereza

Imekuwa kama ada kwa kila anayetaka kuwakosoa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu nchini, kudai kuwa wahitimu hao hawaajiriki kwa sababu ya kutokujua vilivyo lugha ya Kiingereza.

 

11 years ago

Habarileo

Shule za msingi serikalini masomo yote kwa Kiingereza

WAKATI kukiwa na mjadala kuhusu lugha ipi itumike kufundishia katika shule za msingi za Serikali, kati ya Kiingereza na Kiswahili, tayari baadhi ya shule hizo zimeshaanza kuacha kutumia Kiswahili kufundisha masomo yote na zingine zinajiandaa kufanya hivyo. Kwa muda mrefu tangu Uhuru, shule karibu zote za msingi za Serikali zilikuwa zikitumia Kiswahili kufundishia masomo yote isipokuwa somo la Kiingereza.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiswahili dhidi ya Kiingereza au Kiswahili pamoja na Kiingereza?

Suala la matumizi ya lugha Tanzania limeleta ushindani mzito kati ya Kiswahili na Kiingereza.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake

Wanaume wengi wamekutwa na ugonjwa huo zaidi na wanaonekana kupatwa na maafa mabaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani