Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI: Ukiwa na malengo, utachagua kikufaacho

>Hakuna asiyejisikia raha pale anapopata taarifa ya kufaulu iwe kimasomo au katika jambo lingine lolote. Bila shaka, matokeo ya mtihani wa kidato cha pili  yaliyotoka hivi karibuni yamewaacha wanafunzi wengi wakiwa na furaha hasa wale waliochaguliwa kuendelea na kidato cha tatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

KUFIKIA MALENGO YA BRN NECTA yazindua vitabu vya uchambuzi wa ufaulu

AGOSTI 15 2013 Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilizindua mpango wake wa utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa(BRN) katika sekta ya elimu. Uzinduzi huo uliofanywa na Waziri...

 

11 years ago

GPL

HUSISIMKWI UKIWA NAYE?

HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Ni imani yangu kwamba wote mnaendelea vizuri na mahusiano yetu, yawe ya ndoa au urafiki. Wiki iliyopita tulikuwa na mada inayohusu jinsi tunavyoishi na familia zetu, nikauliza kama baadhi yetu huwa tunapata nafasi ya kujiuliza kuhusu vijana wetu, maana wengi huwa tunadhani baada ya kuwalipia ada, jukumu letu linaishia hapo. Leo najaribu kuwa karibu na nyinyi katika upande mwingine. Na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,unaweza kuishi ukiwa uchi?

Watu wengi wasingejihisi vyema kuvua nguo zao zote na kusalia uchi wa mnyama katika maeneo ya uma,lakini kwa wengine ni maisha yao.

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA MWENGE WA UHURU UKIWA PEMBA

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Tanzania mwaka 2015/2016, Juma Khatib Chum, akimkabidhi chandarua mtoto Fatmat Abdalla Mohammed, anayeishi na VVU mara baada ya kuonyesha hali halisi ya maisha yake katika kituo cha Ushauri nasaha ZAPHA+ mkabala na ofisi ya Halmashauri ya Chake Chake Pemba.MKUU wa Wilaya ya Mkoani isiwani Pemba Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akipima afya katika banda la ushauri nasaha linalomilikiwa na ZAPHA+ katika mkesha wa mwenge wa uhuru Tanzania Chake Chake Pemba.
MKUU wa...

 

11 years ago

GPL

USIKUBALI KUACHIKA UKIWA KWENYE UCHUMBA!

UJANA una mambo mengi lakini vijana wa zama hizi tumezidisha. Matukio ndani ya uhusiano ni mengi zaidi ya wakati uliopita. Kukutana na wanandoa wanaoachana baada ya miaka miwili tu ni jambo la kawaida siku hizi. Si ajabu tena kusikia msichana amechumbiwa na amevalishwa pete kabisa lakini baada ya siku kadhaa anaachwa. Hii ni aibu! Utakuta msichana hadi anaingia kwenye ndoa, ameshavaa pete za uchumba kutoka kwa wanaume hata wanne...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukiwa mjamzito uanze lini kliniki? 

KAMA kawaida tuanze na kishtua mada ambapo washikaji wawili wanajadili jambo fulani na kutuachia ujumbe fulani. Mshikaji 1: Naona huyu rafiki yangu amechanganyikiwa. Mke wake ana ujauzito karibu atajifungua. Nimemkuta...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukiwa kiongozi ndiyo unaonekana binadamu

“Katika umri nilioishi duniani nimebaini kuwa kwa Serikali yetu kiongozi unaonekana na thamani ukiwa na nguvu zako za kufanya kazi, lakini ukimaliza muda wako hakuna anayetambua kama ulikuwepo.

 

5 years ago

CCM Blog

*UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...

..._"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)__"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P).__"Kile unahokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae yako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)__"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani