Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukiwa mjamzito uanze lini kliniki? 

KAMA kawaida tuanze na kishtua mada ambapo washikaji wawili wanajadili jambo fulani na kutuachia ujumbe fulani. Mshikaji 1: Naona huyu rafiki yangu amechanganyikiwa. Mke wake ana ujauzito karibu atajifungua. Nimemkuta...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwumbui; apewa tuzo kwa kumsindikiza kliniki mjamzito

>Kwa desturi iliyojengeka nchini, wanaume wengi hawana utamaduni wa kuwasindikiza wake zao kwenda kliniki kupima ujauzito au kupeleka watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Utekelezaji maazimio ya Bunge uanze sasa

Pamoja na ukweli kwamba sakata la kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow kuhusu uchotwaji wa zaidi ya Sh306 bilioni zilizokuwa zimewekwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) halijafikia ukingoni,

 

11 years ago

Mwananchi

Ole Naisha: Mjadala uanze na vifungu vyenye utata

>“Wafugaji ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na changamoto nyingi nchini. Hawana makazi maalumu katika nchi yao na hata rasimu ya Warioba imewasahau.”Ni kauli ya Mjumbe wa Bunge la Katiba, William Ole Naisha (42), ambaye ameteuliwa kupitia kundi la wafugaji.

 

10 years ago

GPL

SIYO LAZIMA UANZE KUFANIKIWA WEWE, TIA MOYO WENGINE!

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia safu hii ya Saikolojia, Maisha na Wewe. Natumaini kuwa umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Mungu kwa kila jambo lakini kikubwa nimshukuru kwa kunifanya kuwa hivi nilivyo leo.
Ngugu zangu najua fika kwamba kila mtu anatamani mafanikio, kama wapo ambao wanaishi ili mradi siku zinakwenda ni wachache sana! Hii ni kwa sababu mafanikio ni kwa kila...

 

10 years ago

Dewji Blog

Njoo uanze week — end yako kwa kusakata Rhumba na Skylight Band leo Thai Village-Masaki

DSC_0015

Divas wa Skylight Band kutoka kushoto Aneth Kushaba AK47, Mary Lucos na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0016

Mary Lucos akifanya yake jukwaani.

DSC_0005

Hashim Donode a.k.a Mzee wa Kiduku akitoa burudani kwa wapenzi wa Skylight  Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Digna Mbepera pamoja na Sam Mapenzi.

DSC_0028

Sam Mapenzi (kulia) sambamba na Sony Masamba (katikati) pamoja na Joniko...

 

9 years ago

GPL

HANA WIVU NA WEWE...HAKUFUATILII...MESEJI MPAKA UANZE WEWE... HUYO ANA MALENGO YAKE!

JAMANI pole na siasa. Naona zimepamba moto karibu kila kona ya nchi yetu ya Tanzania. Basi, wenye siasa zao tuwaachie, sisi tuendelee na mambo yetu.Wiki hii nina mada nzuri sana kwa wawili wanaopendana. Ningependa kila mmoja asome kwa umakini na ajue nini cha kufanya baada ya hapo. Mada inasema...hana wivu na wewe...hakufuatilii...meseji mpaka uanze wewe...Huyo ana malengo yake! Mpenzi wa hivi anaweza hata akawa anakulamba miguu...

 

11 years ago

GPL

HUSISIMKWI UKIWA NAYE?

HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Ni imani yangu kwamba wote mnaendelea vizuri na mahusiano yetu, yawe ya ndoa au urafiki. Wiki iliyopita tulikuwa na mada inayohusu jinsi tunavyoishi na familia zetu, nikauliza kama baadhi yetu huwa tunapata nafasi ya kujiuliza kuhusu vijana wetu, maana wengi huwa tunadhani baada ya kuwalipia ada, jukumu letu linaishia hapo. Leo najaribu kuwa karibu na nyinyi katika upande mwingine. Na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,unaweza kuishi ukiwa uchi?

Watu wengi wasingejihisi vyema kuvua nguo zao zote na kusalia uchi wa mnyama katika maeneo ya uma,lakini kwa wengine ni maisha yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani