Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchina kuwekeza mabilioni Pakistan

Rais wa China Xi Jinping anaanza ziara ya siku mbili nchini Pakistan hii leo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uchina kuahidi mabilioni zaidi kwa Afrika

Kongamano kuu kati ya nchi za Afrika na Uchina linafunguliwa leo mjini Johannesburg kukiwa na matarajio kwamba Uchina itaahidi usaidizi zaidi kwa bara Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia 77 wa Uchina washtakiwa Kenya

Polisi nchini Kenya wamewafikisha mahakamani raia 77 wa Uchina kwa kushukiwa kushiriki udukuzi wa mawasiliano na ulanguzi wafedha.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchina kuunda manowari ya pili

Uchina imesema inaunda manowari ya pili yenye uwezo wa kubeba ndege, ikitumia teknolojia kutoka nchini humo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati afikisha mahakamani Uchina

Kiongozi wa maandamano ya mwaka jana ya kuunga mkono demokrasia nchini Hong Kong ameshtakiwa kwa makosa ya kukusanyika kiharamu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanahabari wa Ufaransa ‘afukuzwa’ Uchina

Mwanahabari anayetoka Ufaransa amezuiwa kuendelea kufanya kazi nchini Uchina wiki chache baada yake kuandika makala akikosoa sera za taifa hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tetemeko lauwa wengi Uchina

Uchina yasema tetemeko kusini-magharibi mwa nchi limeuwa watu wengi na kusababisha uharibifu mkubwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Uchina wajeruhiwa Vietnam

Shirika rasmi la habari nchini Uchina Xhinua limesema kuwa serikali imewaondoa zaidi ya raia wake 3000 nchini Vietnam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Biashara ya Taiwan na Uchina yapingwa

Makumi ya maelfu ya raia wa Taiwan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Taipei ili kupinga makubaliano ya kibiashara na Uchina.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mauzo ya hisa yayumba Uchina

Mauzo ya hisa katika soko la Hong kong nchini Uchina yametatizika baada ya taarifa ya kutoweka kwa mmiliki wa kampuni kubwa ya uwekezaji

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani