Uenyekiti wa Mrema wapingwa mahakamani
Mwasisi wa chama cha TLP, Stanley Ndamugoba amemburuza mahakamani Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Augustine Mrema akidai si kiongozi halali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Ukusanyaji wa takwimu za HIV wapingwa
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Uamuzi wa Mulongo, polisi wapingwa
10 years ago
Mtanzania29 May
Muswada wa Habari wapingwa vikali
Na Arodia Peter, Dodoma
MUSWADA wa Habari unaotarajiwa kupelekwa bungeni kwa ajili ya kujadiliwa, umeelezwa kuwa ni kandamizi na tishio kwa usalama wa nchi.
Muswada huo umepingwa ikiwa ni siku chache baada ya Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT) kuwataka wabunge wasiupitishe kwa sababu hauna maslahi kwa taifa.
Akiwasilisha maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Waziri Kivuli, Joseph Mbilinyi...
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Wahamiaji:Muungano wa Ulaya wapingwa
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Uchaguzi Simba wapingwa kortini
WANACHAMA watatu wa Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, jana wamefungua kesi Katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakiiomba itoe amri ya muda kuzuia uchaguzi mkuu...
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Virusi vya corona: Utafiti wa matumizi ya dawa ya hydroxychloroquine wapingwa
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-HBnh2_9Xexc/VAgrLcxzdGI/AAAAAAAABnk/9rsycSvZg-g/s72-c/Freeman%2BMbowe.jpg)
Uenyekiti waipasua CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza majina ya makada wake wanaowania nafasi za uongozi ngazi ya taifa huku majina ya vigogo na wabunge yakisheheni.
Tayari uchaguzi huo umezidi kukiweka njiapanda chama hicho kutokana na makada wengi kuenguliwa kwenye ngazi za majimbo na mikoa, ikiwa ni mkakati wa kuwatosa wanachama wapenda...
10 years ago
Habarileo29 Nov
Tanzania yakabidhiwa uenyekiti EAC
TANZANIA jana ilikabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki, baada ya Kenya kumaliza muda wake wa mwaka mmoja.
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Manji kutogombea uenyekiti Yanga