Tanzania yakabidhiwa uenyekiti EAC
TANZANIA jana ilikabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki, baada ya Kenya kumaliza muda wake wa mwaka mmoja.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTanzania Kuchukua Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika Tarehe 30 Novemba, 2014 Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa...
10 years ago
MichuziTANZANIA KUCHUKUA UENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MSHARIKI
Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri laJumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kukabidhiwa uwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwaka mmoja...
5 years ago
MichuziTANZANIA YAKABIDHIWA TAKWIMU ZA UFANYAJI BIASHARA KATI YAKE NA JUMUIYA YA MADOLA.
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati aliyeshika kalamu) akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia Scotland. Kushoto kwa Prof. Kabudi ni Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva,Uswisi Balozi Maimuna Tarishi pamoja na Wakurugenzi na Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Jumuiya hiyo zilizopo...
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Katiba inayopendekezwa yakabidhiwa rasmi kwa waheshimiwa marais wa Tanzania Bara na Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Katiba Inayopendekezwa toka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba hiyo iliyofanyika jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
KATIBA Inayopendekezwa imekabidhiwa rasmi 8 Oktoba, 2014 kwa Waheshimiwa Marais wa Tanzania Bara, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja Rais wa Zanzibar, Mhe. Ali Mohammed...
10 years ago
GPLTANZANIA YACHUKUA RASMI UENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
MichuziTanzania yachukua Rasimi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika mashariki
10 years ago
MichuziUTUMISHI YAKABIDHIWA ZAWADI YA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YALIYOFANYIKA CONGO BRAZAVILLE
11 years ago
AllAfrica.Com20 Mar
Why Tanzania Will Not Embrace EAC
Why Tanzania Will Not Embrace EAC
AllAfrica.com
There has been a vigorous debate in the op-ed columns of all major newspapers recently, pitting East African Affairs and Tourism Cabinet Secretary Phyllis Kandie; and an early-Moi-era political heavyweight, former AG Charles Njonjo. The subject has been ...