Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA KUCHUKUA UENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MSHARIKI

Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika Tarehe 30 Novemba, 2014 Nairobi, Kenya. 
Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri laJumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika  ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kukabidhiwa uwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwaka mmoja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tanzania Kuchukua Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika Tarehe 30 Novemba, 2014 Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika  ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YACHUKUA RASMI UENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri Samuel Sitta akizungumza baada ya kupokea uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo akisoma taarifa ya Kamati ya Makatibu Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Baraza la Mawaziri. Wengine kulia kwake ni Katibu…

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yachukua Rasimi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika mashariki

Tanzania leo imekabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki baada ya Kenya kumaliza muda wake wa kipindi cha mwaka mmoja. Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta na Katibu Mkuu Bi. Joyce Mapunjo walipokea Uenyekiti huo katika Mkutano wa Baraza wa Mawaziri uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (KICC), Jijini Nairobi, Kenya.  Rais wa Tanzania anatarajiwa kupokea Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

JK akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki

Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).  Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo  jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita "Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo  jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

 “Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...

 

11 years ago

Habarileo

Jumuiya Tanzania yapata tuzo ya hifadhi Afrika

JUMUIYA ya Hifadhi ya Wanyamapori na Maliasili Tarafa ya Idodi na Pawaga (MBOMIPA) imejipatia Dola za Marekani 5,000, sawa na zaidi ya Sh milioni 8, baada ya kuwa moja kati ya asasi 10 barani Afrika iliyotwaa tuzo ya Ikweta.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mkuu wa WHO Afrika akosoa kasi ya Tanzania kuchukua tahadhari

Serikali ya Tanzania imesema haitachukua hatua zitakazoumiza uchumi.

 

5 years ago

Michuzi

JPM ACHANGIWA SH.MILIONI MOJA NA JUMUIYA YA WAZAZI ARUSHA KUCHUKUA FOMU YA URAIS


NA ELISA SHUNDA,MONDULI.
UMOJA wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Arusha, Mwishoni Mwa Wiki, Imemkabidhi Mwenyekiti wa Jumuiya Hiyo Taifa Ambaye Pia Ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Hicho, Dk.Edmund Mndolwa,  Shilingi Milioni Moja kwa Ajili ya Kumchukulia Fomu ya Kugombea  Nafasi ya Urais kwa Awamu ya Pili.
Akiongea wakati akimkabidhi Mwenyekiti huyo fedha hizo Katibu mwenezi wa wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mjumbe Wa kamati ya utekelezaji wa jumuiya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani