JPM ACHANGIWA SH.MILIONI MOJA NA JUMUIYA YA WAZAZI ARUSHA KUCHUKUA FOMU YA URAIS
NA ELISA SHUNDA,MONDULI.
UMOJA wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Arusha, Mwishoni Mwa Wiki, Imemkabidhi Mwenyekiti wa Jumuiya Hiyo Taifa Ambaye Pia Ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Hicho, Dk.Edmund Mndolwa, Shilingi Milioni Moja kwa Ajili ya Kumchukulia Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais kwa Awamu ya Pili.
Akiongea wakati akimkabidhi Mwenyekiti huyo fedha hizo Katibu mwenezi wa wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mjumbe Wa kamati ya utekelezaji wa jumuiya ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ACHANGIWA SH.MILIONI MOJA NA JUMUIYA YA WAZAZI ARUSHA KUCHUKUA FOMU YA URAIS
UMOJA wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Arusha, Mwishoni Mwa Wiki, Imemkabidhi Mwenyekiti wa Jumuiya Hiyo Taifa Ambaye Pia Ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Hicho, Dk.Edmund Mndolwa, Shilingi Milioni Moja kwa Ajili ya Kumchukulia Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais kwa Awamu ya Pili.Akiongea wakati akimkabidhi Mwenyekiti huyo fedha hizo Katibu mwenezi wa wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mjumbe Wa kamati ya utekelezaji wa jumuiya ya wazazi...
10 years ago
MichuziMaalim Seif Sharif achangiwa fedha za kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa zanzibar wakati utakapofika
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Lowassa achangiwa fedha za kuchukua fomu na Wana CCM mkoa wa Tabora
Mzee wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala Kasubi, (kulia) akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, zaidi ya shilingi milioni moja, zilizochangwa na wanachama wa CCM mkoani Tabora, ili kumuwezesha mtangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwani urais kupitia chama hicho.
Hafla ya kukabidhi fedha hizo ilifanyika nyumbani kwa Mtangaza nia huyo, mjini Dodoma...
10 years ago
MichuziMH. MAKALLA ACHANGIWA FEDHA ZA KUCHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MVOMERO
Tukio la kuchangiwa fedha za kuchukulia fomu lilichagizwa na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Stephen Kebwe aliyefanya ziara ya kukagua hospitali teule ya Bwagala na kisha kuongea na wananchi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara.
Alipopanda jukwaani, Dk. Stephen Kebwe...
10 years ago
Habarileo18 Jun
Shein kuchukua fomu ya urais Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein leo anatarajiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa.
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Mwananchi17 Aug
ACT-Wazalendo kuchukua fomu urais leo
10 years ago
Mtanzania28 May
Mwandosya kuchukua fomu ya urais Juni tatu
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kuchukua fomu kuwania urais Juni tatu mwaka huu.
Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika Jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kutangaza nia yake ya kusaka safari ya kuelekea Ikulu, Juni Mosi, mwaka huu.
Akizungumza na Mtanzania jana nje ya viwanja vya Bunge, Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani...
10 years ago
VijimamboUrais 2015: Mwanamke wa 5 ajitosa kuchukua fomu CCM
Mwananmke mwingine ambaye ni kada wa CCM, Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu jana makao makuu ya CCM mkoani Dodoma Ngowi alisema akifanikiwa kuwa rais ataanzisha kituo kikubwa cha kuwahudumia wastaafu, walemavu, wasiojiweza na vijana.
Kingine atakachofanya ni kuendeleza mazuri yaliyofanywa na marais waliopita, lakini zaidi akiweka mkazo kwenye masuala ya elimu na kukuza...