Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufalme wamtaka Museveni kuomba msamaha

Ufalme wa kijadi wa Tooro nchini Uganda, umemtaka Rais wa Uganda Yoweri Museveni kumuomba msamaha mfalme wao kwa kumuita mtoto.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

DJ Crème De La Crème wa Kenya ajitokeza na kuomba msamaha baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja

creme (1)

Baada ya kukumbwa na skendo kubwa ya kusambaa mtandaoni kwa mkanda wa ngono, DJ Crème De La Crème wa Kenya amevunja ukimya na kujitokeza kuzungumzia swala hilo pamoja na kuomba msamaha.

creme (1)

DJ huyo maarufu na aliyekuwa akiheshimika, ametumia akaunti yake ya Instagram kuomba msamaha kwa kile kilichotokea.

Crème ambaye ni baba wa watoto wawili ameomba msamaha watu mbalimbali, ikiwemo familia yake, msichana aliyehusika naye kwenye mkanda huo aitwaye Halima, mashabiki wake pamoja na marafiki...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM na enzi za ufalme uliofitinika

>Mitandao ya makundi yanayohusishwa kuwa nyuma ya wanasiasa wanaotajwa au kujitaja kutaka kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu mwakani imejenga hofu miongoni mwa makada maarufu wa CCM.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufalme wa Saudia wafanyiwa mabadiliko

Mfalme Salman wa Saudi Arabia amemfuta kazi kakake wa kambo Prince Muqrin ambaye alikua mrithi wa ufalme huo

 

11 years ago

BBCSwahili

Ufalme wa Buganda warejeshewa mali

Rais wa Uganda Yoweri Museveni,amemkabidhi mfalme wa Buganda mali ambayo ufalme huo ulipokonywa mnamo miaka ya sitini.

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME

INAWEZEKANA lisiwe jibu sahihi lakini kwa kiasi fulani linatoa picha juu ya kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, kila kona gumzo ni juu ya nani mkali kimuziki kati ya Diamond Platnumz dhidi ya Ali Kiba. Ali Kiba. Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye staa kwa sasa na amedumu kileleni kwa miaka kadhaa, hilo halina ubishi, lakini Ali Kiba amerejea kwa kutoa nyimbo mbili za Kimasomaso na… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam kusaka ufalme wa Ligi

1*Simba yatafuta pa kutokea kwa Stand baada ya kipigo

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

VIGOGO wa soka nchini, Yanga na Azam FC, leo watashuka dimbani katika viwanja tofauti kuendeleza dozi ya vipigo katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku majeruhi, Simba wakisaka pointi muhimu zitakazorejesha heshima baada ya kipigo kutoka kwa watani wao wa jadi.

Vinara wa ligi hiyo, Yanga, wanafukuzana na Azam kwenye msimamo wa ligi, wakiwa na pointi 12, baada ya kucheza mechi nne, lakini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Miaka 2 jela kwa kuigiza ufalme Thailand

Wanafunzi 2 wahukumiwa kifungo cha miaka 2 gerezani kwa mchezo kuigiza uliotajwa kuwa uliuchafulia sifa ufalme Thailand .

 

10 years ago

GPL

11 years ago

BBCSwahili

Adai ardhi kama ufalme wake Afrika

Mwanamme mmoja kutoka Marekani amedai umiliki wa kipande kidogo cha ardhi barani Afrika kama ufalme wake kwa sababu bintiye anataka kuwa binti mfalme.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani