Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufaransa yatoa somo uwekezaji gesi

BALOZI wa Ufaransa nchini, Malika Berek, amesema watanzania wana fursa kubwa kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi kwa kushirikiana na wawekezaji wa nje  kwani mtaji wao ni rasilimali zao....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

WB yaipa somo la gesi Tanzania

Benki ya Dunia imetoa somo la gesi kwa Watanzania kwa kuwataka kuzalisha rasilimali hiyo kwa viwango vya kimataifa huku kampuni zitakazoisambaza zukishauriwa kuwa na uwezo wa kutosha.

 

9 years ago

StarTV

Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania

Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.

Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Planet Core yaangalia fursa ya uwekezaji sekta ya elimu, mafuta na gesi Zanzibar

458

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Planet Core ya Nchini India hapo Nyumbani kwake Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Kati kati ni Mwenyekiti wa Timu ya Uongozi wa Planet Core Bwana Deepak Balaji na Kulia ni Rais wa Taasisi hiyo Bwana Dilip Kulmarni.

Na Othman Khamis Ame

Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na Miundo mbinu ya Elimu, Madini, mafuta na Gesi, nishati na mawasiliano ya Planet Core kutoka...

 

10 years ago

Dewji Blog

UWT yatoa somo kukabili Wapinzani

12.

Na Mwandishi wetu

Wanawake nchini wametakiwa kutokuwa na woga katika kusimamia mambo mbalimbali ya maendeleo.

Wametakiwa kuwa katika mstari wa mbele hasa katika kusimamia masuala ya siasa, uchumi na ya kijamii kwa nguvu zote.

Hayo yalielezwa  jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu Bara,Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Eva Mwingizi,wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya wenyeviti na makatibu wa UWT, wilaya ya Kinondoni.

Alisema kwa kujiweka nyuma kutasababisha hata uwiano sawa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BOA yatoa somo kwa wafanyabiashara

BENKI ya Afrika (BOA) imewataka wafanyabiashara wadogo kuonyesha vigezo vinavyotakiwa ili kupata mikopo inayotolewa na benki hiyo, hatua itakayosaidia kuendeleza biashara zao. Hivi karibuni BOA ilisaini mkataba wa sh bilioni...

 

11 years ago

Habarileo

Ufaransa yatoa bil.100/- kwa miji sita

SHIRIKA la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limetoa Sh bilioni 100 kwa ajili ya uendelezaji wa miradi ya maji katika miji ya Mwanza, Bukoba na Musoma na miji midogo ya Lamadi, Magu na Misungwi. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na Waziri wa Biashara wa Ufaransa, Nicole Bricq walisaini makubaliano hayo jana jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Ufaransa yatoa bil 222/- kwa sekta ya maji

SERIKALI ya Tanzania na serikali ya Ufaransa wametiliana saini mikataba mitatu ya mikopo inayolenga kuisaidia Tanzania katika sekta ya maji na umeme.

 

9 years ago

Michuzi

UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA-MBEYA

Ofisa Masoko na Uhusiano Mwandamizi wa UTT AMIS, Martha Mashiku akitoa elimu ya uwekezaji wa pamoja kwa wafanyakazi wa hospitali ya rufaa ya Mbeya. Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa wajasiriamali Mbeya mjini.Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa wajasiriamali Mbeya mjini.
 Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Benki ya Barclays yatoa somo la ajira kwa wanafunzi wa UDBS

01

Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Barclays Tanzania, Anna Chacha (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana kuhusu fursa mbalimbali za ajira ndani ya benki hiyo na pia nini wafanye ili kuweza kumudu ushindani katika soko la ajira ndani ya sekta za kibenki.   02 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Neema-Rose Singo (kushoto) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani