Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uganda yaunda kikosi maalum

Uganda imeweka vituo vya kukabiliana na dharura ili kuharakisisha shughuli kuwatuma wanajeshi wake endapo kutatokea haja

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

EU kutumia kikosi maalum kuzuia wahamiaji

Viongozi wa muungano wa Ulaya, wamesema kuwa wataharakisha juhudi za kuunda kikosi cha pamoja cha kulinda mipaka kukabiliana na tatizo la wahamiaji.

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUIMARISHA ULINZI, USALAMA KATIKA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI

 Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia  Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.  Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha ...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOANI MTWARA KUIMALISHA ULINZI NA USALAMA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI.


Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo. (PICHA...

 

9 years ago

Habarileo

ZFA yaunda Kamati tano

CHAMA cha Soka Zanzibar (ZFA) Taifa kimeunda kamati tano zitakazosimamia masuala ya soka visiwani. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa chama hicho, Masoud Attai alipozungumza na gazeti hili ofisini kwake Amaan mjini Unguja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Taswa yaunda Kamati ya Tuzo

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), kimeunda Kamati Maalumu ya kusimamia utoaji wa Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania. Kamati hiyo ya watu 12, itakuwa chini ya uenyekiti...

 

10 years ago

StarTV

Serikali yaunda kamati itakayoshughulikia wa wasafirishaji.

Na Lilian Mtono/ Edward Mbaga.

Dar es salaam.

 

Waziri mkuu Mizengo Pinda ameunda kamati ya kudumu itakayokuwa ikishughulikia matatizo yote yanayohusiana na usafirishaji, ikiwa ni sehemu ya kumaliza migogoro ya mara kwa mara ya usafiri, huku serikali ikionya magenge yanayojihusisha na kuzuia watu kutumia usafiri wa jumuiya.

 

Serikali inaunda kamati hii, wakati ambapo madereva wa mabasi wanagoma, ikiwa ni sehemu ya kushinikiza waajiri wao kuboresha maslahi, hali inayosababisha adha kubwa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

TFF YAUNDA KAMATI YA TAIFA STARS


Katika kuimarisha maandalizi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) kuelekea katika mashindano mbalimbali ikiwemo mechi mbili za ugenini na nyumbani dhidi ya Algeria, Rais wa TFF Jamal Malinzi ameunda kamati maalum itakayoitwa “Kamati ya Taifa Stars” ambayo majukumu yake yatakua:(i) Kuimarisha huduma kwa wachezaji,(ii) Uhamasishaji na Masoko,(iii) Kuhamasisha wachezaji,(iv) Kuandaa na kusimamia mkakati wa Ushindi.
Kamati hii itaongozwa na Mwenyekiti Farough Baghouzah, Teddy Mapunda (Katibu), Wajumbe...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM Z’bar yaunda ‘timu ya ushindi’

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Zanzibar iliyokutana mchana jana, Kisiwandui imeunda timu ya kampeni za uchaguzi.

 

10 years ago

Michuzi

TFF YAUNDA KAMATI YA USHAURI YA LIGI

RAIS wa Shirikiso la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Jamal Malinzi ameteua Kamati ya ushauri ya Ligi Kuu (VPL) na ligi Daraja la Kwanza (FDL) nchini.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ni Alhaj Ahmed Mgoyi na katibu wa Kamati ni mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi nchini (TPLB) na wajumbe wengine saba.
1. Alhaji Ahmed Idd Mgoyi (Mwenyekiti)2. Boniface Wambura (Katibu)3. Kennedy Mwaisabula- Mjumbe4. Idd Mshangama- Mjumbe5. Amiri Mhando- Mjumbe6. Grace Hoka- Mjumbe7. Ibrahim Kaude (Vodacom)- Mjumbe8. Baruan Muhuza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani