Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UGANDA:MBABAZI KUWANIA URAIS NJE YA CHAMA CHA NRM

Waziri mkuu wa zamani wa Uganda John Patrick Amama Mbabazi ametangaza kuwa hatawania urais kwa chama tawala NRM katika uchaguzi mkuu mwakani.

Mbabazi ametangaza hilo muda mchache uliopita akiwa nyumbani kwake Kololo katika siku ya mwisho ya kurejesha fomu za uwaniaji wadhfa katika chama hicho tawala.
''kamwe sitatoka NRM''.''Lakini sitaweza kugombea urais katika tikiti ya chama hicho cha NRM ilihali vipengee vingi tu vya vya chama vinakiuka katiba ya nchi''.'' sitawania urais kwa tikiti ya NRM...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uganda:Mbabazi kuwania urais nje ya NRM

Mpinzani mkuu wa rais Yoweri Museveni ametangaza kuwa atawania urais mwakani kama mgombea wa kibinafsi wala sio kwa tikiti ya NRM

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbabazi achukua fomu za kuwania urais Uganda

Waziri mkuu wa zamani wa Uganda Amama Mbabazi amechukua fomu za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao utakaofanyika mwakani

 

11 years ago

TheCitizen

NRM Caucus did not sack Mbabazi, says Museveni

President Museveni has refuted reports of replacing Amama Mbabazi as NRM Secretary General, arguing the resolutions passed by ruling party MPs during the two-day meeting at State House Entebbe were not formal and therefore not binding.

 

10 years ago

TheCitizen

NRM delegates reject move to sack Mbabazi

A motion calling upon Tororo NRM district delegates to pass a resolution to sack Mr Amama Mbabazi as secretary general of the party was flatly rejected by the members.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI PROFESA MBARAWA AREJESHA FOMU YA KUWANIA URAIS ZANZIBAR, ASHUKURU CHAMA CHAKE

WAZIRI wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Profesa Makame Mbarawa amerejesha fomu ya kuwania uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea wake wa urais Zanzibar.

Profesa Mbarawa alichukua fomu Juni 19,  mwaka huu katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Unguja, akiwa mwanachama wa 10 kufanya hivyo.

Hivyi leo Juni 27,2020  amerejesha fomu hizo katika ofisi hiyo na kupokewa na Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, Galous Nyimbo.

Wakati alipochukua fomu...

 

5 years ago

Michuzi

Chama kikuu cha upinzani cha CNL kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake wa kiti cha urais

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais wa Mei 20 mwaka huu.

Wajumbe wa chama cha National Congres for Liberty jana walimuidhinisha Rwasa aliye na umri wa miaka 56 kama mgombea wao katika uchaguzi wa Rais wa mwezi Mei.

Agathon Rwasa atachuana katika uchaguzi huo na Jenerali wa jeshi Evariste Ndayishimiye ambaye ni muitifaki wa Nkurunzia. Mwezi uliopita chama tawala Burundi CNDD-FDD kilimchagua jenerali huyo wa jeshi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani