Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugiriki:Mkutano wa viongozi wafutiliwa mbali

Mkutano wa viongozi wote 28 wa nchi za ulaya uliopangwa kufanyika leo kujadili suala la deni la Ugiriki umefutiliwa mbali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na viongozi mbali mbali ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akifuatana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI ZA MCHEZO WA VIONGOZI WA DINI ULIOCHEZWA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

Mshambuliaji Machachari wa timu ya Mshikamano (kulia) akijaribu kutaka kumtoka beki wa timu ya Amani katika Mchezo uliowakutananisha viongozi wa Dini nchini ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha Amani na Mshikamano kwa Taifa la Tanzania uliocheza jana kwenye Uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.hadi mwisho wa Mchezo timu ya Amani ilishinda goli 1-0.Picha na Othman Michuzi.Golikipa hodari kabisa wa timu ya Amani akidaka mpira kwa uhodari mkubwa katika Mchezo uliowakutananisha viongozi wa Dini nchini...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI MBALI MBALI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO

Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowasa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh Salmin aliefariki ghafla jana.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kuuwaga mwili wa Marehemu Salimn Awadh.Mwili wa Marehemu Salmin Awadh ukiingizwa katika Ukumbi wa Baraza la...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awaongoza viongozi mbali mbali na mamia ya waombolezaji kumfariji Mh. Sophia Simba kwa kufiwa na Mwanae Leeford Simba

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Mhe.Sophia Simba kufuatia kifo cha mwanaye Marehemu Leeford Simba huko Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Leeford Simba anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Marehemu Leeford Simba amezikwa jioni ya leo kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa Ulaya kuamua hatima ya Ugiriki

Mkutano wa kujadili madeni ya Ugiriki, mjini Brussels, utaamua iwapo Ugiriki itabaki katika umoja wa nchi zinazotumia sarafu ya euro au la

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa Euro kuijadili zaidi Ugiriki

Viongozi kutoka nchi zinazotumia sarafu ya Euro wanatarajiwa kukutana Jumatatu ijayo kujadili madeni ya Ugiriki

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa dharula waendelea Ugiriki

Viongozi wa umoja wa ulaya wamejifungia kwenye mazungumzo katika mkutano wa dharura wakijaribu wakitafuta suluhisho la Ugiriki.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak O bama.  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC.… ...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama Julai 5, 2014. Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC  leo Julai 6, 2014.  Sehemu ya wajumbe wa Mkutano wa Viongozi wa Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani