Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa dharula waendelea Ugiriki

Viongozi wa umoja wa ulaya wamejifungia kwenye mazungumzo katika mkutano wa dharura wakijaribu wakitafuta suluhisho la Ugiriki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA DHARULA WA 29 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAENDELEA LEO JIJINI ARUSHA

Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta akiwa katika kikao cha Nchi cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baadae leo. Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo katikati na Naibu Katibu Wizara ya Fedha Profesa Adoft F. Mkenda pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa kwanza kushoto ndugu Amatius C. Msole...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki:Mkutano wa viongozi wafutiliwa mbali

Mkutano wa viongozi wote 28 wa nchi za ulaya uliopangwa kufanyika leo kujadili suala la deni la Ugiriki umefutiliwa mbali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mjadala waendelea mkutano wa Parir

Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Laurent Fabius, amewasilisha rasimu ya mkataba kwenye mkutano mjini Paris

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC waendelea nchini Malawi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa SADC, Mhe. Ephraim Chiume (kushoto) akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC ulioanza jana tarehe 10 Machi, 2014 jijini Lilongwe, Malawi. Mhe. Chiume akiendelea na hotuba ya ufunguzi, kushoto ni Katibu Mtendaji wa SADC, Mhe. Stergomena Tax Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb) mwenye ushungi. Waziri wa Nchi wa Serikali ya Zanzibar anayeshughulikia masuala ya Utawala Bora,...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa mwaka wa Banki ya Afrika waendelea nchini Rwanda

Mh.Saada M.Salum akifafanua jambo katika moja ya Mikutano ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na watendaji wa mashirika mbalimbali ya Kimataifa,Kulia kwa Mh.Waziri ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha – Dkt. Servacius Likwelile na Kushoto ni Bwa.Peter Noni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Rasimali Tanzania (TIB). Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na Washiriki mbalimbali wa Mkutano wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika mara baada ya ufunguzi wa Mkutano huo...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA WAENDELEA NCHINI UGANDA

Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika Chuo cha Takwimu...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa World Health Assembly waendelea Geneva Uswisi

Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif Rashid (MB) amehutubia katika mkutano wa 67 wa shirika la Afya Duniani, katika hotuba yake alieleza mafanikio mbalimbali yaliyofikiwa na Tanzania katika sekta ya Afya.Baadhi ya mambo aliyoyaeleza ni Pamoja na mafanikio ya utekelezaji wa Malengo ya millennia hususani lengo la milenia namba nne linalohusu upunguzaji wa vifo vya watoto.vile Vile alieleza mafanikio yaliyofikiwa katika kapunguza maambukizi ya virus Vya ukimwi kutoka asilimia 5.7...

 

9 years ago

Vijimambo

PAMCA WAENDELEA NA MKUTANO WAO JIJINI DAR ES SALAAM

Mkutano wa Mkuu wa Pili wa Chama cha Kudhibiti Mbu cha Pan African (PAMCA) leo umeingia katika siku yake ya pili jijini Dar es Salaam ambapo watafiti wamewasilisha taarifa zao mbalimbali za utafiti walizofanya katika maeneo yao kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwa ni pamoja na ushauri wa kitaalam wa kupata suluhisho la kumdhibiti na hatimaye kumtokomweza kabisa Mdudu mbu barani Afrika. Pichani ni Mwanasayansi Mtafiti Kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dk...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia waendelea leo

Mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika hufanyika kila mwaka wakati wa mikutani ya Benki ya Dunia na IMF na unahusisha kundi la nchi za Benki ya Dunia ambazo zinapata mikopo nafuu kutoka IDA. IDA ni shirika au mfuko wa maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo nafuu kwa nchi zinazoendelea kwa kundi la Benki ya Dunia.
Katika mikutano hii wanazungumzia zaidi masuala ya sera za kibenki na mambo ya utawala kama vile ajira , uchaguzi wa wenyeviti wa mikutano hiyo na kamati mbalimbali. Mkutano huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani