UGOMVI WA KAJALA, WEMA WABUNGE WAINGILIA KATI
![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBDAnjnkWVxTnI*HIFT0iWrawSReouv66OIGvg768MadhcZhTsPKIMqJ3NPaTr1J7rCTIvezbHyMGr-oXQSJk5CX/kajala.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu Mambo bado mabaya! Ule ugomvi wa mashosti wawili nyota katika tasnia ya sinema Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘K’, sasa umechanja mbuga hadi kufika mjengoni, ambako inadaiwa kuwa baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameingilia kati ili kuumaliza, Risasi Jumatano linakuhabarisha. Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJD*oNmDWICP6rsjfxdjThp7t6nOVaAa5oGFBQEqGMk-SMisDEzseEPVB2sOVLWZ-LSRUw*Zu-iYER6LKqjNWPCF/SNURA.jpg?width=650)
SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDBCmZtmrz2wAKBxARSEgUlLMufFqxzUB97xuw*XzaCg3FElmlcTfSSGf5Beqbu-JgeHLDb23AJXu1TiNqM9WmRh/DOGONATRAFIKI7.jpg?width=650)
DOGO AWAHENYESHA TRAFIKI JIJINI MWANZA, WANANCHI WAINGILIA KATI KUWASAIDIA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHeGbs8g54iNA5-e4xK3eFdEsH6RM*WrGh9hn25h3FPLNOzI4uKwD-yNLLhJHg9SUyrhNF5qlfIr1Vy15JsuPB7/wema.jpg?width=650)
WEMA AANIKA UGOMVI WAKE NA MAMA’KE