DOGO AWAHENYESHA TRAFIKI JIJINI MWANZA, WANANCHI WAINGILIA KATI KUWASAIDIA
Dogo akiwakomalia trafiki mpaka wananchi wakalazimika kuingilia kati. Trafiki kwa msaada wa wananchi wakimtia pingu dogo huyo aliyekuwa akimpa kichapo mwenzake.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?
Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...
11 years ago
GPLUGOMVI WA KAJALA, WEMA WABUNGE WAINGILIA KATI
Stori: Mwandishi Wetu
Mambo bado mabaya! Ule ugomvi wa mashosti wawili nyota katika tasnia ya sinema Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘K’, sasa umechanja mbuga hadi kufika mjengoni, ambako inadaiwa kuwa baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameingilia kati ili kuumaliza, Risasi Jumatano linakuhabarisha. Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja...
9 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziCHADEMA YAENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIJINI MWANZA
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Salum Mwalim akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Magu, mkoani Mwanza, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya chama kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kujiandaa kupiga kura uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu akihutubia mkutano wa hadhara ...
11 years ago
Michuzi05 Apr
KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWENKEZAJI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ameingilia kati Mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa muda mrefu katika kijiji cha Mawenzusi,wilaya ya Sumbawanga mjini.Mgogoro huo uliohusu Wananchi na anayedaiwa kuwa Mwekezaji inaelezwa kuwa maamuzi yalikwishatolewa na Mh.Rais Jakaya Kikwete,kuwa Wananchi wapewe kipao mbele na Mwekezaji apewe kiasi,lakini mpaka sasa hakuna lililotekelezwa kufuatia Watendaji waliokuwa wamepewa dhamana ya kulisimamia jambo hilo kusua sua na hatimaye kutopatiwa...
5 years ago
MichuziGENERAL PETROLEM (GP) YATOA MSAADA WA VYAKULA KUWASAIDIA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI TEMEKE
Katibu Tarafa ya Mbagala Bertha Minga(katikati) ambaye amemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Felix Lihaniva akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya General Petroleum (GP) Zafar Khan(kulia) pamoja na ofisa mwingine wa kampuni hiyo.Msaada huo wa vyakula unakwenda kutolewa kwa wananchi wenye kipato cha chini ndani ya Wilaya hiyo.
Bertha Minga ambaye ni Katibu Tarafa ya Mbagala jijini Dar es Salaam(kushoto) akiwa na Meneja Mauzo wa...
5 years ago
MichuziDIWANI AISHUKURU KAMPUNI YA GP KWA KUWASAIDIA WANANCHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA,FUTARI
Mmiliki wa Kampuni ya SSMC Limited Saidi Mohamed kushoto akimkabidhi
vyakula vya futari na vifaa vya kujikinga na Ugonjwa wa Corona Diwani wa
Kata ya Makorora Omari Mzee vyenye thamani ya milioni 16 vilivyotolewa
na Kampuni ya Mafuta ya GP mapema leo kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kata
ya Makorora Ramadhani Badi
Diwani wa Kata ya Makorora Omari Mzee kushoto akibidhi mmoja wa wananchi wa Kata ya Makorora Futari yenye thamani ya milioni 16 vilivyotolewa na Kampuni ya Mafuta ya GP mapema leo...
11 years ago
GPLDOGO LILA NA DOGO HILAL WAKIFANYA YAO NDANI YA DAR LIVE
Dogo Lila na Dogo Hilal wakifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Dar Live.
10 years ago
Bongo531 Aug
Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’
Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’. Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania