Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugonjwa hatari watesa 144 Dar, waua mmoja

WAGONJWA 144 wamethibitika kuwa na ugonjwa wa homa ya Dengue hadi wiki iliyopita jijini Dar es Salaam huku mtu mmoja akifariki dunia. Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mmbando, Wilaya ya Kinondoni ndiyo inayoongoza kwa kuwa na wagonjwa 132, Ilala ina wagonjwa wanane na Temeke wanne.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ugonjwa wa moyo watesa vijana

Hospitali ya Muhimbili

Hospitali ya Muhimbili

NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM

MAISHA ya vijana wengi wa Kitanzania yapo hatarini kutokana na unywaji pombe na uvutaji sigara kupita kiasi, unaotajwa kuwa miongoni mwa sababu za kupatwa na ugonjwa wa moyo.

Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Moyo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Robert Mvungi, alipozungumza na waandishi wa habari katika Siku ya Moyo Duniani iliyoadhimishwa kidunia jana.

Dk. Mvungi alisema wagonjwa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Majambazi waua mmoja, wapora

Mtu mmoja anayedaiwa kuwa raia wa Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi, ambao pia walipora mali zenye thamani ya zaidi ya Sh.30 milioni.

 

10 years ago

Dewji Blog

MTUKURU waua mtoto wa mwaka mmoja Singida

DSC03164

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

POLISI mkoani Singida inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mtoto wa mwaka mmoja na mama mtoto kulazwa baada ya kunywa pombe ya ‘Mtukuru’ nyumbani kwa  mtuhumiwa.

Kamanda wa polisi mkoa, Thobias Sedoyeka alimtaja mwanamke anayeshikiliwa kuwa ni Anastazia Kadama (35) mkazi wa kijiji cha Msule, Misughaa wilayani Ikungi...

 

10 years ago

Mwananchi

Ugonjwa wa TB hatari waingia nchini

Wakati Taifa likikabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa dawa hospitalini, aina mpya na hatari zaidi ya ugonjwa wa kifua kikuu sugu imegundulika na kuathiri mtu mmoja nchini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Ugonjwa hatari utakaomaliza mmea wa ndizi.

Wanasayansi kote duniani wanashughulikia mbinu za kuzuia ndizi kupotea dunianai kufwatia ugonjwa wa Panama.

 

9 years ago

Michuzi

Thalassaemia — UGONJWA WA DAMU HATARI UNAOWEZA KURITHIWA


Na Mwandishi Wetu, Ibrahim (jina limebadilishwa) alizaliwa nchini Tanzania na alipokuwa na umri wa miezi 9 tu alionekana anang’aa na hakuwa na uwezo wa kula na kukua vizuri kama watoto wengine wa umri wake. Alikuwa na maambukizi ya mara kwa mara na vipimo vya damu vilionyesha upungufu mkubwa wa damu na kiwango cha ukosefu wa damu kwa gm 3.5! Ibrahim alikuwa akiishi na chini ya robo ya kiwango cha oksijeni kinachohitajika kwenye damu na alihitaji haraka kuongezewa damu ili kuokoa...

 

9 years ago

Vijimambo

halassaemia — UGONJWA WA DAMU HATARI UNAOWEZA KURITHIWA


Na Mwandishi Wetu, 
Ibrahim (jina limebadilishwa) alizaliwa nchini Tanzania na alipokuwa na umri wa miezi 9 tu alionekana anang’aa na hakuwa na uwezo wa kula na kukua vizuri kama watoto wengine wa umri wake. Alikuwa na maambukizi ya mara kwa mara na vipimo vya damu vilionyesha upungufu mkubwa wa damu na kiwango cha ukosefu wa damu kwa gm 3.5! Ibrahim alikuwa akiishi na chini ya robo ya kiwango cha oksijeni kinachohitajika kwenye damu na alihitaji haraka kuongezewa damu ili kuokoa...

 

11 years ago

GPL

HOMA YA INI: UGONJWA HATARI KULIKO UKIMWI

Makala: Mwandishi Wetu
NI ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu.Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus). Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho. Watu takriban 1,000,000 wanapoteza maisha duniani kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola ni kiini cha ugonjwa hatari Guinea

Wanasayansi nchini Ufaransa wasema virusi vya Ugonjwa wa Ebola ndio chanzo cha ugonjwa wa homa ya Haemorajic nchini Guinea

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani