Ugonjwa wa corona wazidi kuenea Afrika, 800 waambukizwa
![](https://1.bp.blogspot.com/-XZbYiuE1uSI/XnW5iKVXc4I/AAAAAAALkoI/lO05sUT9g-YYGjvnUi8PG_9CTGUKE50jwCLcBGAsYHQ/s72-c/4bv76d218a23621md1c_800C450.jpg)
Kesi za maambukizi ya ugonjwa wa corona au COVID-19 barani Afrika zimepita 800 hadi kufikkia Ijumaa huku nchi mbalimbali zikiiimarisha hatua za kukabiliana na ugonjwa huo unaoenea kwa kasi kote duniani.
Kwa mara ya kwanza, Chad, Niger na Cape Verde zimeripoti kesi za maambukizi ya kirusi cha corona. Huko mashariki mwa Afrika, idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa kirusi hicho ikiongezeka katika nchi za Tanzania, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Kwa mujibu wa taarifa aghlabu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Paka wawili wa kufugwa waambukizwa corona New York
5 years ago
BBCSwahili28 May
Virusi vya corona: Watu 147 zaidi waambukizwa corona Kenya
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HHw5xYhZk1s/Xkr0IpD5OGI/AAAAAAALdz0/mvRMitCj17Qz-WLLXzacCirSdzuNwZ6YQCLcBGAsYHQ/s72-c/c3a19933-3a0b-4a47-b7df-3ce7e62f50fc.jpg)
RAIA WA CHINA WAZIDI KUKUMBANA NA ZUIO LA KUSAFIRI KUDHIBITI KUENEA KWA VIRUSI VYA COVID 19
![](https://1.bp.blogspot.com/-HHw5xYhZk1s/Xkr0IpD5OGI/AAAAAAALdz0/mvRMitCj17Qz-WLLXzacCirSdzuNwZ6YQCLcBGAsYHQ/s640/c3a19933-3a0b-4a47-b7df-3ce7e62f50fc.jpg)
NUSU ya idadi ya raia wa China ambao wamefikia zaidi wa watu milioni 780 wamekumbana zuio la kusafiri ikiwa ni sehemu ya mlengo wa Mamlaka husika inayoendelea kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona (Covid 19)
Tangu virusi hivyo vimeikumba nchi hiyo takribani watu 1,770 wamepoteza maisha huku watu 70,000 wakiwa wameambukizwa virusi hivyo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la Utangazaji CNN imeelezwa kuwa kumekuwa na zuio la safari na msisitizo kwa watu...
9 years ago
StarTV31 Dec
Watu 192 wafariki, 12,222 waambukizwa Ugonjwa Wa Kipindupindu nchini
Watanzania 196 wamefariki dunia nchini mwaka huu kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Kipindupindu.
Idadi hiyo inatokana na wananchi 12,222 waliougua ugonjwa huo katika mikoa 20 ya Tanzania.
Takwimu hizo zimetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utoaji wa Huduma za Kinga katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Vincent Assey, wakati wa mafunzo maalum ya kipindupindu kwa Waandishi wa habari mkoani Mbeya.
Mkoa wa Mbeya umefanikiwa kumaliza tatizo hilo licha...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Coronavirus: Dhana potofu zinazohusishwa na kuenea kwa ugonjwa huu
5 years ago
BBCSwahili24 Mar
Coronavirus: Wafahamu watu mashuhuri waliofariki kwa ugonjwa wa corona Afrika
5 years ago
BBCSwahili22 May
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Hofu ya kuenea kwa corona kipindi cha Ramadhani
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-e3hpUJ0tiRk/Xs_QMnk2x3I/AAAAAAALr54/Dp7s1rTY93oa5upBQQt5Fi2FNClgLuUKQCLcBGAsYHQ/s72-c/b3db98b9-b5f7-4b97-8509-ef24b334cda6.jpg)
UGONJWA WA MALARIA WAZIDI KUPUNGUA NCHINI
Takwimu za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni asilimia 63 na matumizi ya vyandarua kwa wanajamii kitaifa ni asilimia 52.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vyandarua kwa kila kaya uliofanyika wilayani Chunya.
Waziri Ummy amesema kuwa Mkoa wa Mbeya, upatikanaji wa...