Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhaba wa madarasa wakosesha Wanafunzi 16,482 kuingia sekondari

>Serikali imetangaza idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani, huku 16,482 wakishindwa kuchaguliwa kutokana na uhaba wa madarasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANAPA YAKABIDHI MADARASA MAWILI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NKOARISAMBU-ARUMERU

Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mhe. Mahamud Mgimwa akizungumza katika uzinduzi wa madarasa mawili ykatika shule ya sekondari ya Nkoarisambu wilayani Arumeru. Mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi ya taifa TANAPA, Bw. Allan Kijazi akitoa taarifa ya kukabidhi mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ,shule  ya sekondari Nkoarisambu wilayani Arumeru. Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira Mh James Lembeli akizindua mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ,shule ya sekondari ...

 

10 years ago

Michuzi

WAMA YAKABIDHI MAJENGO YA MADARASA SHULE YA SEKONDARI NYAMISATI MKOA WA PWANI WILAYA YA RUFIJI

 Makamu Mwenyekiti WAMA,Mama Zakia Meghji akikata utepe kabla ya kumkabidhi majengo ya madarasa Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto) Mkuu wa wilaya ya Rufiji Nurdin Babu (wa pili kulia) na Kiongozi wa WAMA (kulia) Viongozi wakitembelea moja ya sehemu za shule. Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji akizungumza.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekondari ya Nainokanoka yalia uhaba walimu wa sayansi

SHULE ya Sekondari ya Nainokanoka wilayani hapa Mkoa wa Arusha inakabiliwa na ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi licha ya kuwa na mchepuo huo. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi darasa la kwanza hadi la saba wasomea madarasa matatu

Shule nyingi za msingi katika Manispaa ya Morogoro zinakabiliwa na changamoto mbalimbali, lakini kwa Shule ya Msingi Ujirani Mwema, changamoto hizo zimezidi kipimo.

 

10 years ago

Habarileo

52 kortini kwa kuwazuia watoto kuingia sekondari

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Fatuma KimarioWAZAZI 52 katika Wilaya ya Kisarawe wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo kutokana na kuwazuia watoto wao kuendelea na elimu ya kidato cha kwanza mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATATUA CHANGAMOTO ZA UHABA WA VITABU VYA SAYANSI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MUKULATI MKOANI ARUSHA

Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mkoa wa kilimanjaro Paschal Bikomagu kushoto akimkabidhi baadhi ya vitabu vya sayansi kwa Diwani wa  kata ya Olkokola Joseph laizer  kwa niaba ya shule ya sekondari Mukulati  mkoani arusha  wakati wa mahafali ya 17 ya kidato cha nne ya shule hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatatua changamoto za uhaba wa vitabu vya sayansi Katika shule ya Sekondari Mukulati Mkoani Arusha

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel  imeedelea kuungana na serikali katika kusaidia kuboresha maendeleo ya sekta ya elimu  nchini ambapo imetoa vitabu vya ziada na kiada  katika masomo ya sayansi kwa shule ya sekondari mukulati wilayani Arumeru mkoani Arusha
Licha ya Kada ya sayansi kuwa ndio chimbuko kubwa  la wataalamu wengi katika fani mbalimbali bado  inatajwa kutofanya vizuri kutokana na uhaba wa miundombinu na vifaa stahiki ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya kada hiyo. 
Meneja wa Airtel...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi St.Joseph wagoma kuingia darasani


NA SHAABAN MDOE,ARUSHA
ZAIDI ya wanafunzi 350 wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Joseph, tawi la Arusha, wamegoma kuingia madarasani kwa madai ya kufundishwa kwa mitalaa kutoka nchini India.
Mbali na hilo, wanafunzi hao ambao wanasomea ualimu, wanadai kufundishwa na walimu wenye fani ya uhandisi na kwamba huimbishwa nyimbo za darasa la kwanza, pili na tatu.
Kiongozi wa Chuo hicho, Bwigane Mwaipaja, alisema tokea mwanzo wa muhula wa masomo, walibaini kuwepo kwa mitaala tofauti katika chuo hicho.
Alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani