Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhondo wa Kombe la Mapinduzi 2016, cheki video ya Mtibwa wakiwaadhibu Mafunzo …

Michezo ya Kombe la Mapinduzi iliendelea na ikafika time ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi B dhidi ya timu ya Mafunzo, Mtibwa walifanikiwa kupata goli la mapema tu dakika ya 12 kupitia kwa mshambulaiji wa zamani wa Yanga anayeichezea klabu hiyo kwa sasa Said Bahanuzi. Hii […]

The post Uhondo wa Kombe la Mapinduzi 2016, cheki video ya Mtibwa wakiwaadhibu Mafunzo … appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Cheki video ya magoli ya mechi ya Simba Vs Jamuhuri, Full Time 2-2 Kombe la Mapinduzi 2016 …

Mtu wangu wa nguvu baada ya kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA ya Uganda dhidi ya JKU ya Zanzibar jioni ya January 4. Usiku wake ulipigwa mchezo wa pili wa Kundi hilo kati ya Simba na Jamuhuri ya Pemba. Mchezo wa Simba dhidi ya Jamuhuri ulimalizika kwa sare ya goli 2-2 na […]

The post Cheki video ya magoli ya mechi ya Simba Vs Jamuhuri, Full Time 2-2 Kombe la Mapinduzi 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi

Bado burudani ya soka ipo Zanzibar kwa kuendelea kuchezwa michezo ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi B mchana wa January 5 kwa kuzikutanisha timu za Mafunzo ya Zanzibar na Mtibwa Sugar ya Morogoro na mchezo kumalizika kwa Mtibwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0. Usiku wa January 5 ulichezwa […]

The post Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA NA MTIBWA KOMBE LA MAPINDUZI KATIKA PICHA

Mshambuliaji wa timu ya Simba Ramadhani Singano Messi, akimpita beki wa timu ya Mtibwa Sugar wakati wa mchezo wao wa Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika usiku huu uwanja wa Amaan, Timu ya Simba imeshinda kwa penenti 4--3Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi liofanyika usiku huu uwanja wa amaan Zanzibar timu ya Simba imeshinda mchezo huo na kuwa Bingwa kwa mwaka 2015 bingwa Mapinduzi Cup.Mshambuliaji wa timu ya Simba Emanuel Okwi,...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA, MTIBWA SUGAR ZAKUTANA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

Wachezaji wa Simba wakishangilia baoWEKUNDU wa Msimbazi Simba wametinga fainali ya kombe la Mapinduzi kufuatia kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Polisi katika mechi wa nusu fainali ya kombe hilo iliyomalizika usiku huu uwanja wa Amaan Zanzibar.MABINGWA wa zamani wa Tanzania mara mbili mfululizo, 1999 na 2000, Mtibwa Sugar ya Morogoro wametinga fainali ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2015 kufuatia kuitandika JKU ya Zanzibar penalti 4-3. Credit:ShaffihDauda

 

9 years ago

MillardAyo

Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …

Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]

The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki pichaz na matokeo ya Mtibwa Sugar walivyowaadhibu wajelajela wa Zanzibar …

Michuano ya Kombe la Mapinduzi iliendelea leo January 5 katika uwanja wa Amaan kama kawaida, mchana wa January 5 ulipigwa mchezo wa tano wa Kombe la Mapinduzi na watatu kwa Kundi B lenye timu za Yanga, Azam FC, Mtibwa Sugar na Mafunzo ya jeshi la magereza visiwani Zanzibar. Mchezo wa mchana wa January 5 ulizikutanisha […]

The post Cheki pichaz na matokeo ya Mtibwa Sugar walivyowaadhibu wajelajela wa Zanzibar … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 30 kwa mchezo mmoja wa kiporo kumaliziwa katika dimba la Azam Complex Mbande Chamazi. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unakutanisha timu ambazo zinatafuta nafasi ya kusogelea kuelekea kileleni mwa msimamo wa Ligi. Mchezo wa December 30 ulikuwa unazikutanisha timu ya Azam FC dhidi ya klabu ya […]

The post Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …

Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]

The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani