Uingereza kusaidia mapambano ya ujangili
SERIKALI ya Uingereza inatarajia kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kuisaidia Tanzania kupambana na biashara haramu ya wanyama pori. Waziri wa Uingereza Ofisi ya Mambo ya Nje anayeshughulikia Masuala ya Afrika,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi27 Mar
WAJERUMANI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UJANGILI
![DSC_0080](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0080.jpg)
Na Damas Makangale
HUKU Tembo wakiendelea kuuawa katika mbuga kadhaa nchini, Serikali ya Ujerumani imeahidi kutoa ushirikiano wa kutosha katika kupambana tatizo la ujangili...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jul
Uingereza kuisaidia Tanzania mapambano dhidi ya ujangili
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI ya Uingereza imeahidi kushirikiana na Tanzania kuhifadhi tani 120 za pembe za ndovu zinazotunzwa nchini.
Aidha, imeahidi kusaidia harakati za Tanzania katika mapambano dhidi ya uwindaji na mapambano dhidi ya majangili.
Waziri wa Uingereza anayehusika na bara la Afrika, Mark Simmonds, alisema hatua hiyo inatokana na juhudi za nchi kukomesha uwindaji haramu.
Simmonds aliyekuwa akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliohudhuriwa pia na Waziri wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-yVC6Ofk8uzQ/VNvb2UvgoSI/AAAAAAAAtBQ/JQ2OM5RJTZQ/s72-c/1.jpg)
VIONGOZI WA DINI WAJITOSA MAPAMBANO DHIDI YA UJANGILI
![](http://3.bp.blogspot.com/-yVC6Ofk8uzQ/VNvb2UvgoSI/AAAAAAAAtBQ/JQ2OM5RJTZQ/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HEPVcnzulcI/VNvb2yVYhjI/AAAAAAAAtBU/xkOJLeuNt_Q/s640/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-B3rM2qRwREE/VNvb5hOgu9I/AAAAAAAAtBo/ZbdPc1IQEHo/s640/kubwa.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-einarUUngJA/VM-xMouB1gI/AAAAAAAHBHg/ZibwfD2Whxw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
Mapambano dhidi ya Ujangili nchini yaonesha mafanikio makubwa
Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma
KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema kuwa hatua za Serikali za kupambana na ujangili nchini zimeonesha mafanikio makubwa. Akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe James Lembeli (pichani) alisema kuwa pamoja na mafanikio mengine hatua hiyo imefanikiwa kukamata silaha 2000. Alisema hadi kufikia mwaka 2013, hali ya ujangili wa tembo ilikadiriwa kufikia tembo 30 kwa siku, lakini Serikali ilichukua hatua ya...
![](http://3.bp.blogspot.com/-einarUUngJA/VM-xMouB1gI/AAAAAAAHBHg/ZibwfD2Whxw/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-50c04-gCrjQ/U53IrVfdUzI/AAAAAAACjbk/d7xSwbas9LU/s72-c/hc1.jpg)
Serikali yapokea msaada wa Helkopta kwa ajili ya kuimarisha mapambano dhidi ya ujangili
![](http://2.bp.blogspot.com/-50c04-gCrjQ/U53IrVfdUzI/AAAAAAACjbk/d7xSwbas9LU/s1600/hc1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FHwljsc8yWs/U53JJc_iPPI/AAAAAAACjb0/HKfhhYB-LUQ/s1600/hc3.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Teknolojia mpya kusaidia vita dhidi ya ujangili
Rais Jakaya Kikwete amewahimiza wananchi waishio ughaibuni kuleta teknolojia mpya nchini kwa kushirikisha kampuni kubwa kwa lengo la kuinua uchumi na kuongeza ajira.
10 years ago
GPLMAREKANI, CHINA KUSAIDIA VITA DHIDI YA UJANGILI
Mkurugenzi wa African Wildlife Foundation, Dr. Patrick Bergin, akizungumza katika mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Wildaid akizungumza. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,…
5 years ago
MichuziWATANZANIA WENYE UWEZO WATAKIWA KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kushoto akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada huo
![](https://1.bp.blogspot.com/-84vK5j5wGE0/Xp__E3PReSI/AAAAAAAAgoY/6yyQW_9RSBEyQrhV5tlYkWx9nP54Ym2mgCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200420-WA0015.jpg)
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kulia akimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto wakati wa makabidhiano ya msaada huo
![](https://1.bp.blogspot.com/-xL3_ehRRRFM/Xp__FbxjLpI/AAAAAAAAgoc/TR8wB2HqvrQlf68dFv-jOdaCDqF2gyZpwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200420-WA0013.jpg)
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kulia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0Myg_0PaCwA/XsUr007MujI/AAAAAAALq-E/99OZ3lXgChwa4esf5XsSvkfzSy6wN7mAACLcBGAsYHQ/s72-c/aa1.jpg)
Benki ya CRDB yaikabidhi BAKWATA milioni 10 kusaidia mapambano dhidi ya Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-0Myg_0PaCwA/XsUr007MujI/AAAAAAALq-E/99OZ3lXgChwa4esf5XsSvkfzSy6wN7mAACLcBGAsYHQ/s640/aa1.jpg)
== === ==
Benki ya CRDB imekabidhi mchango wa shilingi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania