Uingereza yahamisha majasusi wake
Uingereza imelazimika kuhamisha majasusi wake baada ya Urusi na China kufanikiwa kupata taarifa za kisiri kuhusu shughuli zao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Jun
Marekani yahamisha 6 kutoka Guantanamo
Marekani imewahamisha wafungwa sita waliaokuwa wamezuiliwa kwa miaka mingi katika Gereza la Guantanamo kwenda nchini Oman.
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Serikali yahamisha kodi ya simu
>Serikali imeondoa kodi ya kadi za simu iliyopitishwa na wabunge katika Mkutano wa 13 wa Bunge ambayo ililalamikiwa na wadau na watumiaji wa simu nchini.
10 years ago
Vijimambo10 Dec
Ukatili wa majasusi Marekani wafichuliwa
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/10/141210082909_cia_ukatili_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Ripoti ya Seneti Marekani imekosoa vikali zinazotumiwa na CIA, kuwahoji washukiwa wa uhalifu, kwamba ni za kikatili na zisizofaa.
Ripoti ya kamati ya bunge la Seneti nchini Marekani imekosoa vikali mbinu zinazotumiwa na Shirika la Ujasusi la nchi hiyo za kuwahoji washukiwa wa uhalifu na kuelezea kwamba ni za kikatili na zisizofaa.
Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya bunge la seneti Dianne Feinstein amesema katika baadhi ya matukio wanavyotendewa washukiwa hao ni sawa na mateso.
''Watu waliowekwa...
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Mbwa atalekezwa na mzigo wake Uingereza
Shirika moja la kutetea wanyama nchini Uingereza linmatafuta mmiliki wa Mbwa aliyepatikana akiwa ametelekezwa katika kituo cha treni nchini Scotland.
10 years ago
BBCSwahili18 May
Muuguzi awaua wagonjwa wake Uingereza
Muuguzi mmoja amehukumiwa kwa makosa ya kuwaua wagonjwa wake wawili na kuwapa wengine 20 sumu katika hospitali ya Greater Manchester.
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
Libya:Uingereza kuufunga ubalozi wake.
Uingereza inatarajiwa kuufunga ubalozi wake kwa mda katika mji mkuu wa Tripoli nchini Libya kufuatia mapigano makali
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Uingereza kutuma wanajeshi wake Somalia
Uingereza imetangaza kwamba itawatuma wanajeshi wake Somalia kusaidia wanajeshi wa Muungano wa Afrika wanaolinda amani huko.
5 years ago
BBCSwahili05 May
Jinsi majasusi wanavyohangaika kuiba siri za chanjo ya corona
Mtaalamu aonya hakuna kilicho hatarini zaidi hii leo duniani zaidi ya namna ya kuzuia ugonjwa.
5 years ago
BBCSwahili01 May
Virusi vya corona: Kwanini Trump anatofautiana na majasusi wa Marekani kuhusu chimbuko la virusi
Idara ya intelijensia ya Marekani ilisema haina uhakika jinsi mlipuko ulivyoanza, lakini Trump anadai virusi hivyo vilitengenezwa katika maabara.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania