Mbwa atalekezwa na mzigo wake Uingereza
Shirika moja la kutetea wanyama nchini Uingereza linmatafuta mmiliki wa Mbwa aliyepatikana akiwa ametelekezwa katika kituo cha treni nchini Scotland.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Mbwa ampiga risasi mmiliki wake !
Mwanamke mmoja mmiliki wa mbwa huko Marekani amelazimika kupokea matibabu baada ya jibwa lake kufyatua bastola na kumjeruhi mguu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxaWN8sjhPSYbWJX-RAVKr-s-Hog9mkJZRGBsTaadJmUcqByNu6K2BN3tMeP5P9ReVQJ-u2QdCnER81Q5ffQZsl3/wema.jpg?width=650)
WEMA NA DAU LA MILIONI ATAKAYEMUONA MBWA WAKE
Na Richard Bukos
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake aitwae Vanila aliyepotea hivi karibuni. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu. Akielezea ishu hiyo, Wema alisema mbwa huyo alikuwa na mwenzake akiishi nao nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambapo juzikati alikorofishana na mwenzake aitwae Thiona na kuamua kutokomea… ...
11 years ago
GPL28 May
MZUNGU ALINILAZIMISHA NIFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE - HAUSIGELI
Mzungu amlazimisha Hausigeli kufanya mapenzi na mbwa wake, hausigeli akataa, apewa kichapo na kutupiwa mizigo yake nje ya nyumba!
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-n1rVO2KmE3Y/XsdLLX3L6EI/AAAAAAABMJo/Xpzbze7LJYUjiy4auVkX_eLKIG_d2kwWQCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
BENKI YA NMB YATANGAZA HATUA ZA KUWAPUNGUZIA MZIGO WATEJA WAKE KUTOKANA NA JANGA LA COVID 19
![](https://1.bp.blogspot.com/-n1rVO2KmE3Y/XsdLLX3L6EI/AAAAAAABMJo/Xpzbze7LJYUjiy4auVkX_eLKIG_d2kwWQCLcBGAsYHQ/s400/2.jpg)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NMB , Ruth Zaipuna
· Hatua kuchukuliwa kulingana na mahitaji ya Wateja wa Biashara Ndogondogo na za Kati· Suluhisho pia kutolewa kwa Wateja Wakubwa
Dar es Salaam, Mei 21, 2020: Benki ya NMB Plc leo imetangaza unafuu wa ulipaji mikopo kwa Wateja wa Biashara ndogo na za kati (SME/MSME) na wakubwa ili kuwasaidia kukabiliana na madhara yaliyotokana na janga la COVID - 19 kwenye biashara zao. Hii ni jitihada ya benki katika kutoa ahueni kwa wateja wake...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nc61tuPNc3PR7*Lbm1vty25v-M8Jzg05LNukhLaan42EtMr1EmNQv4TXnolkHwIlIiYIb6knxIClADYknh*iK65wtL2gYAXT/mzungu.jpg)
KHAA! MZUNGU DAR ADAIWA KUMLAZIMISHA HAUSIGELI AFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE
Stori: Waandishi Wetu KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake. Mapolisi wakiwa wametinga nyumbani kwa mzungu na silaha. Kushoto ni hausigeli.
Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa kufanya tukio hilo...
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
10 years ago
BBCSwahili14 Jun
Uingereza yahamisha majasusi wake
Uingereza imelazimika kuhamisha majasusi wake baada ya Urusi na China kufanikiwa kupata taarifa za kisiri kuhusu shughuli zao
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Uingereza kutuma wanajeshi wake Somalia
Uingereza imetangaza kwamba itawatuma wanajeshi wake Somalia kusaidia wanajeshi wa Muungano wa Afrika wanaolinda amani huko.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania