Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJENZI DARAJA LA WAMI KUFUNGUA FURSA NYINGI KIUCHUMI


Muonekano Daraja la sasa la Wami linalotumika lenye urefu wa mita 88.75 ambalo halikidhi mahitaji ya magari yanayopita hapo na Serikali imekwisha anza ujenzi wa Daraja jipya la Wami eneo hilo, mkoani Pwani.






Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akipitia mpango kazi wa mkandarasi Power Construction Corporation anayejenga Daraja jipya la Wami linalounganisha kati ya Chalinze na mikoa ya Kaskazini mwa nchi yetu na nchi jirani, litakalokuwa na urefu wa mita 510 na upana wa mita 11.8, ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Daraja la Wami kujengwa upya

WIZARA ya Ujenzi imetangaza kujenga daraja jipya la Wami mkoani Pwani, ambalo ni kiungo kikubwa katika usafiri wa barabara kati ya mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania na nchi jirani.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

11 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzz......... :Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.

Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi hapo baadae.Baadhi ya wasamaria wema wakijaribu kumchomoa Dereva  wa Lori hilo aliyekuwa amebanwa vibaya,pichani ambalo namba zake za usajili hazikufahamika mara moja.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameusifu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bagamoyo ina fursa nyingi za uwekezaji — Nagu

MJI wa Bagamoyo umetajwa kuwa ni moja ya maeneo yenye fursa nyingi za  uwekezaji na zinavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta mbalimbali ambazo zikitumika ipasavyo zitasaidia mji huo kupiga hatua za...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Katavi changamkieni fursa za kiuchumi zilizopo’

Wakazi mkoani hapa wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo, ikiwamo kuingia ubia na wawekezaji wa kigeni ili kuleta maendeleo.

 

5 years ago

Michuzi

SAOHILL: UTUNZAJI WA MISITU NI FURSA KIUCHUMI.


Moja kati ya maeneo ya uzalishaji wa miche ya miti katika shamba la miti ya sao hill kwa ajili kuendelea kuipanda katika shamba hilo na kwa baadhi ya wananchi wanaolizunguka shamba hiloMoja kati ya eneo la shamba la miti la Sao hill katika wilaya ya Mufindi


NA FREDY MGUNDA,MUFINDI.

Wakala wa Misitu Tanzania TFS kupitisha Shamba la Miti Sao Hill Wilayani Mufindi mkoani Iringa Limewahimiza wananchi kuendelea kuitunza misitu iliyopo katika maeneo yao na kuitumia kuwa fursa ya kiuchumi kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utalii Tanzania, A.Kusini kukuza fursa za kiuchumi

HIVI karibuni ulifanyika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Utalii Cape Town Afrika Kusini na kuhudhuliwa na watu zaidi ya 360. Mkutano huo wa mwaka ulifunguliwa na Waziri wa Utalii wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani