Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi wa soko wawapa ahueni wanakijiji Buganzu

Wakazi wa Kijiji cha Buganzu, Kata ya Uyovu wilayani Bukombe mkoani Geita wamejengewa soko litakalowasaidia kupata mahitaji muhimu karibu na makazi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI.

 Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula  Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great Britain na Care Tanzania, baada ya  kuwasili wote sasa wanapangwa makundi makundi kwa ajili ya kuanza mchakato wa siku Hapa katika kundi la kwanza washiriki wa Shindano la  Mama Shujaa wa Chakula , Shindano linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow hapa wakiwahamasisha wanakijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkandarasi atelekeza ujenzi wa soko la Gezaulole

MKANDARASI, Serico Company Ltd anadaiwa kutoweka na kutelekeza ujenzi wa Soko la Gezaulole, Kata ya Kauzani, Manispaa ya Morogoro linalotarajiwa kugharimu sh milioni 12 hadi kukamilika. Hayo yamebainika kwenye ziara...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana atahadharisha ujenzi soko la ghorofa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehadharisha Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba dhidi ya mpango wake wa kujenga soko la ghorofa kwa kuitaka ijifunze kilichoikumba Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kujenga soko la Machinga Complex .

 

11 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa Soko la Mwanjelwa Mbeya kuendelea tena

Ujenzi wa Soko la Mwanjelwa la jijini hapa ambao ulisimama kwa karibu mwaka mzima unatarajiwa kuendelea tena mapema mwezi ujao kama jiji litafanikiwa kupata mkopo mwingine kutoka Benki ya CRDB.

 

10 years ago

Dewji Blog

TASAF yashindwa kukamilisha ujenzi wa meza za soko la kijiji cha Ndago, wilayani Iramba

SAM_2012

Soko la Kijiji cha Ndago,wilayani Iramba lililoshindikana kukamilishwa kwa meza za kufanyia biashara kwa wananchi wa Kijiji hicho kutokana na TASAF awamu ya pili kujitoa kukamilisha ujenzi wa meza hizo kwa kukosa fedha za kufanyikazi hiyo,baada ya kutotengwa kwa fedha za kazi hiyo.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_2010

SAM_2014

Na Jumbe Ismailly, Iramba     

MFUKO wa Maendeleo ya jamii (TASAF) Wilaya ya Iramba,Mkoani Singida umeshindwa kukamilisha ujenzi wa meza za soko la Kijiji cha Ndago kwa zaidi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Dar kupata ahueni ya usafiri 

KAMPUNI ya usafirishaji ya City Ridez inatarajia kuanza kutoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam kwa kutumia magari maalumu wakati wa asubuhi na jioni ili kupunguza adha...

 

5 years ago

Michuzi

Absa Tanzania yawapa wateja ahueni

· Yatoa msamaha wa kulipa madeni kwa hii miezi mitatu

NA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam
Benki ya Absa Tanzania imetoa msamaha wa malipo ya madeni kwa wateja wake katika kipindi cha miezi mitatu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Tanzania, Abdi Mohamed amesema msamaha huo ni kwa wateja wa rejareja, wafanyabiashara na makampuni na uwekezaji.
“Tumechukua hatua hii kwa kutambua athari za kifedha na kiuchumi zilizoikumba Tanzania na dunia nzima kutokana na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Teknolojia yaleta ahueni kwa walemavu

Vifaa vya kusaidia watu wasioona vinarahisisha shughuli za maendeleo kwa walengwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani