Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujerumani kupokea wakimbizi milioni 1.5

Wasiwasi unaoongezeka kuhusu uwezo wa Ujerumani kukabiliana na hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Poland na Slovakia zakataa kupokea wakimbizi

Poland na Slovakia zimesema kuwa hazitawapokea wakimbizi kama ilivyotakiwa na Umoja wa Ulaya

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi 12,000 waingia Ujerumani

Utawala mjini Munich kusini mwa Ujerumani unasema kuwa huenda ukakumbwa na changamoto za kuwachukua wakimbizi na wahamiaji zaidi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi kuhudumia wakimbizi Ujerumani

Wizara ya ulinzi nchini ujerumani inasema kuwa wanajeshi 4000 watahudumia wakimbizi 4000 wanaotarajiwa kuwasili nchini humo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi milioni 1 walihamia Ulaya

Idadi ya wahamiaji na wakimbizi waliongia bara Ulaya kwa kutumia njia za nchi kavu na bahari mwaka huu, imepita milioni moja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Syria wamezidi milioni 4

Umoja wa mataifa umetaka nchi zote za Ulaya kuwajibika zaidi kwa mzozo wa kibinaadamu wa wakimbizi wa Syria

 

9 years ago

BBCSwahili

UNHCR yapata dola milioni 6 za wakimbizi

Umoja wa mataifa umetangaza msaada wa dola milioni 6 kama msaada wa kibidamu kwa wale wanaokimbia mzozo nchini Yemen

 

9 years ago

Michuzi

Tanzania yapokea Euro milioni 158.5 kutoka Ujerumani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yasaini mkataba wa jumla ya Euro milioni 158.5 na Serikali ya Ujerumani wenye lengo la kusaidia Bajeti ya Serikali pamoja na msaada wa kiufundi. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelie aliposaini mkataba huo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Kochanke leo jijini Dar es salaam Dkt. Likwelile alisema kuwa lengo kuu la fedha hizo zitaelekezwa katika sekta ya Afya, Mazingira,...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YA UJERUMANI KUTUMIA EURO MILIONI 10 KUKARABATI RELI YA KATI‏

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard Membe na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani nchini, Dkt Frank-Walter Steinmeier wakiwasili kwenye chumba cha mkutano kuzungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa MObog). Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Dkt. Frank Steinmeier akizungumza waandishi wa habari kwenye mkutano huo jijini Dar es Salaam na kuelezea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani