Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukata wapiga kambi kwa Ray C, wafadhili wamkacha!

Ray C

Ukata mkali umepiga kambi kwa Rehema Chalamila aka Ray C kiasi cha kushindwa kufanya kile alichowaahidi mashabiki wake muda mrefu.

Ray C

Ray C aliyewahi kusimamiwa na Ruge Mutahaba, ameiambia Bongo5 kuwa, watu waliopanga kumsaidia katika kazi zake hawaoneshi tena nia ya kuendelea kumsaidia.

“Naona bora nihangaike mimi mwenyewe kwa sababu watu niliokuwa nawategema hawapo na mimi tena,” amesema.

“Kama unavyojua muziki wa sasa unahitaji pesa kwaajili ya video, promotion na mambo mengine, kwa hiyo...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAPIGA KAMBI NDANI YA CCM MAKAO MAKUU, DODOMA

Waandishi wa Vyombo mbali mbali vya habari nchini Tanzania walioweka kambi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma kwa ajili ya kutoa taarifa za vikao mbali mbali vinavyopendelea ili kumpata mgombea Urais wa Mwaka 2015 kupitia chama hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City yafungua milango kwa wafadhili

UONGOZI wa Mbeya City umezidi kufungua milango kwa makampuni na wafanyabishara kuwekeza  kwao kwa maslahi ya pande zote, hasa soka la Tanzania. Katibu wa Mbeya City, Emmanuel Kimbe akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

MAZOEZI: Ngasa, Twite wamkacha Maximo

>Wakati kocha wa Yanga, Marcio Maximo akiendelea kuwapigisha jaramba wachezaji wake, jana winga Mrisho Ngasa na Mbuyu Twite wameingia mitini kwenye mazoezi bila ya kutoa taarifa kwa Mbrazili huyo.

 

10 years ago

Mwananchi

HOJA BINAFSI: Nasaha kwa Watanzania wanaoulizia wafadhili wa nje

>Mafanikio maishani yanahitaji ,abo mawili; kutojua  na kujiamini,” aliandika mtunzi maarufu wa riwaya, Mark Twain. Zamani shuleni tulisoma vitabu vya Mark Twain vinavyofundishia Kiingereza ulimwengu mzima. Kati ya riwaya ya sifa na sambusa ni The Adventures of Huckleberry Finn.

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAFADHILI USAMBAZAJI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI

Pamoja na Tume ya  Taifa ya Uchaguzi kuahirisha  tarehe ya kupiga kura ya maoni, Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Elimu na Utamaduni (UNESCO), kwa kushirikiana na Kampuni ya Focus Media pamoja na Mtandao wa radio za jamii  (COMNETA), limeamua kusambaza Katiba inayopendekezwa kwa njia ya sauti nchi nzima, ili wananchi wapate elimu  kuhusu maudhui yaliyomo ndani ya Katiba na kufanya maamuzi sahihi pindi siku ya kupiga kura itakapowadia. 
Aidha, mkakati huo wa kusambaza Katiba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanza yajitoa mashindano ya Majiji kwa ukata

Wakati kivumbi cha michuano ya kikapu Afrika ya Kanda ya Tano kikitarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho jijini Dar es Salaam, timu ya Mwanza imejiondoa kwenye michuano hiyo kutokana na ukata.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!

“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.

Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.

Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...

 

11 years ago

GPL

CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU

Stori: Imelda Mtema
KATIKA hali inayoonesha kuna kitu kikubwa kinakuja mbeleni, msanii wa filamu, Chuchu Hans amejichora ‘tatuu’ inayosomeka kwa jina la Ray huku anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ naye akiwa amejichora tatuu inayosomeka kwa jina la Chuchu. Ray na Chuchu. Picha ambazo gazeti hili limezinasa zinawaonesha wawili hao wakipigia ‘promo’ uhusiano wao huku wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani