Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa wailiza CCM Sumbawanga

mtanzaniadaily afcon.inddmtanzaniadaily afcon.inddNa Walter Mguluchuma, Sumbawanga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeigaragaza vibaya CCM katika uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana katika kata tatu za Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Chadema ni miongoni mwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) pamoja na vyama vya CUF na NCCR Mageuzi.
Vyama hivyo viliweka makubaliano ya kushirikiana kwenye uchaguzi kwa kuachiana maeneo ambayo kuna chama kati yao kina nguvu.
Katika uchaguzi wa Serikali...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM kuongoza Manispaa ya Sumbawanga

Hatimaye meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa amepatikana jana baada ya Chadema kukubali kushiriki kupiga kura.

 

10 years ago

GPL

USHINDI WA CHADEMA SUMBAWANGA, VIGOGO CCM TUMBO JOTO

John Mnyika. Stori: MWANDISHI WETU
Kufuatia ushindi wa kishindo walioupata Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema) katika uchaguzi wa marudio wa serikali za mitaa uliofanyika wiki hii katika kata tatu za Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya mkoa na taifa, wanadaiwa kuhaha huku na kule ili kujua chanzo cha kushindwa huko. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ushindi huo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wadukuzi wailiza Marekani

Mamlaka nchini Marekani imewamefungulia mashtaka ya jinai watu tisa baada ya kuhusika na wizi wa mtandaoni.

 

11 years ago

Mwananchi

Wezi ‘wailiza nyaya’ Tanesco

 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema chanzo cha kukatika kwa huduma hiyo jijini hapa ni kutokana na kuibwa kwa nyaya katika Kituo cha Ubungo na kusababisha kuungua kwa mitambo ya kusambaza nishati hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kwela hayana mwenyewe Kalambo ni CCM

Uchambuzi wa leo unaangazia majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kalambo na Kwela, yote yakiwa sehemu muhimu ya mkoa huu. Majimbo yote matatu kila moja lina hadhi ya wilaya.

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SUMBAWANGA VIJIJIJINI WAVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi, katika kijiji cha Ilemba, kata ya Ilemba, alipohutubia wananchi katika kata hiyo akiwa katika  ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa. Baadhi ya Wanachama wapya wapato 300 kutoka kata ya Ilemba, waliojiunga na chama cha CCM,wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi za chama hicho na Katibu Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAGUA MIRADI YA MAJI TAKA NA MAJI SAFI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA LEO.

Mkurugenzi wa Majisafi na Majitaka Sumbawanga (SUWASA), mkoani Rukwa, Antipas Shirima akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana kuhusu ujenzi wa tanki la lita milioni moja za majisafi linalojengwa katika mradi wa SUWASA unaotarajiwa kumalizika Machi 7, mwakani (2015). Mradi huo mpaka unakamilika utagharimu kiasi cha fedha shilingi Bilioni 30.Pamooja na kutembelea mradii wa maji safi,Kinana pia alitembelea mradi wa maji taka wilayani humo mapema leo.Ndugu Kinana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA yaikwamisha CCM

 JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kurekebisha kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, ili kutumia wingi wake kupitisha ibara na sura za rasimu ya katiba kwenye kamati zimegonga...

 

9 years ago

Mtanzania

CCM yailaumu Ukawa

January-MakambaNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimelalamikia kitendo cha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, kusema watatangaza matokeo yao na kuwaamuru vijana wao waingie barabarani kushangilia.

 

Chama hicho kilisema kauli hizo zinazotolewa na viongozi hao wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni za hatari kwa amani na usalama wa nchi na ujenzi wa demokrasia na inashangazwa ni kwanini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani