Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa wamvuruga Mrema wa TLP

mremaNa Safina Sarwatt, Moshi

MWENYEKITI wa Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustine Mrema, amesema mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hana ubavu wa kushinda katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu.

Alisema mgombea huyo kupitia  Ukawa hawezi kushinda nafasi hiyo kwa kuwa hana uzoefu na siasa za upinzani na ni CCM “B”.

Mrema aliyasema hayo jana katika ufunguzi wa kampeni ya mgombea urais wa TLP, Maximillan Lyimo, iliyofanyika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SING’OKI NG’O TLP- MREMA

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party TLP,Agustine Lyatonga Mrema amesema hangoki ng’o  katika nafasi ya uenyekiti TLP.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magomeni jijini Dar es salaam leo,Mrema amesema hajavunja katiba ya TLP hivyo yeye ni mwenyekiti halali.
Mrema amesema watu wanampiga majungu wakiwemo na UKAWA katika kuhakikisha TLP inasambaratika ,lakini hawataweza pamoja na kikundi hicho cha panya road.
Amesema kikundi...

 

10 years ago

Habarileo

Mrema akanusha kufukuzwa TLP

Mrema.MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) Augustino Mrema ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Vunjo amekanusha kufukuzwa katika chama chake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanachama TLP walia na Mrema

WANACHAMA wa Tanzania Labour Party (TLP), wamemjia juu Mwenyekiti wao, Augustino Mrema, kwa madai anang’ang’ania madaraka huku akishindwa kuitisha uchaguzi mkuu kama katiba yao inavyoeleza. Kutokana na hali hiyo, wanachama...

 

10 years ago

Michuzi

SIJAFUKUZWA UANACHAMA WA TLP-MREMA


Mwenyekiti   wa chama cha Tnzania Labour Part (TLP) Agustino Mrema akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo)   katika mkutano uiliofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari MELEZO kuhusu kukanusha  kuwa yeye amefukuzwa TLP,Kushoto Mkurugenzi wa Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo,Kulia ni Katibu Mkuu wa TLP,Nancy Mrikariya.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
MWENYEKITI wa Chama cha Tnzania Labour Party (TLP) Agustino Mrema,amesema hajafukuzwa unachama katika chama hicho.
Mrema aliyasema hayo...

 

10 years ago

Mtanzania

Mrema avuliwa uanachama TLP

mremaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.
Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na MTANZANIA Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.
Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine waliovuliwa uanachama ni Hamisi...

 

10 years ago

Mtanzania

Hatima ya Mrema TLP kujulikana leo

mrmNa Michael Sarungi, Asifiwe George,Dar es Salaam
HATIMA ya Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema kuendelea kuongoza chama hicho inatarajiwa kujulikana leo baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuingilia kati.
Hatua hiyo imekuja baada ya kundi la wanachama wa TLP kuandika barua ya malalamiko kutaka kufanyika kwa uchaguzi wa ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Malalamiko hayo yamemlazimu msajili kuingilia kati na kuziita pande mbili...

 

9 years ago

TheCitizen

TLP's Mrema files case for re-election

Former Tanzania Labour Party (TLP) candidate for Vunjo Constituency, Mr Augustino Mrema has today filled a case at Moshi High Court to challenge NCCR-Mageuzi’s James Mbatia who won the post in the October 25, 2015 elections.

 

10 years ago

Mwananchi

TLP yampitisha Mrema kugombea ubunge Vunjo

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imempendekeza Mwenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo.

 

10 years ago

GPL

MREMA: WALIODAI KUNIENGUA UWANACHAMA TLP WALISHAWAFUKUZWA

Kulia ni Mhe. Mrema akizungumza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) kushoto ni Ofisa wa Habari Maelezo, Bw.Tiganya.
Wa kwanza kushoto  ni Bw. Tiganya (katika) Mhe.Mrema na kulia ni Katibu Mkuu wa TLP, Nancy Mrikaria. Wanahabari wakisikiliza kikao cha TLP. MBUGE wa jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, Mhe. Agustino Mrema…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani