UKAWA watishiwa
KUNDI la wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalowashirikisha wanasiasa wa vyama vya upinzani, maarufu kama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), limekuwa mwiba mkali kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Wanachama Deci watishiwa
BAADHI ya wanachama wa taasisi ya kupanda na kuvuna mbegu, Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci), wanatishiwa kukamatwa na vyombo vya dola pindi wanapodadisi kuhusu kurejeshewa fedha zao ambazo mahakama iliagiza...
10 years ago
Habarileo31 Oct
Maofisa wa CAG watishiwa kifo
SAKATA la ubadhirifu wa bilioni 40 katika halmashauri ya jiji la Mwanza limechukua sura mpya baada ya maofisa wa ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) walioibua sakata hilo kudai kutishiwa maisha.
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Wajumbe wa Bunge watishiwa maisha
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Waliopanda mbegu Deci watishiwa kukamatwa
WANACHAMA wa Taasisi ya Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci), wanatishiwa kukamatwa na vyombo vya dola pindi wanapodadisi kuhusu kurejeshewa fedha zao. Deci ni taasisi iliyojipatia umaarufu jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-H24T2Zcu0r8/VCWshOkKfHI/AAAAAAAAhtk/YB4eAtOAMuA/s72-c/bunge%2B(2).jpg)
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Watishiwa Maisha
![](http://1.bp.blogspot.com/-H24T2Zcu0r8/VCWshOkKfHI/AAAAAAAAhtk/YB4eAtOAMuA/s640/bunge%2B(2).jpg)
Kunani Jamani Tanzania Tunaelekea Wapi?
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wimbo wa ‘VIVA ROMA VIVA’ wa Roma Mkatoliki watishiwa kufungiwa nchini
Roma Mkatoli
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam)- Ndani ya masaa 24 baada ya kuachiwa kwa kibao kipya cha Msanii maarufu wa Bongo fleva nchini, Roma Mkatoliki ‘Roma Tongwe’ wimbo wa Viva Roma Viva’, tayari msanii huyo ametishiwa na kuonywa vikali na mamlaka husika kwa madai kuwa wataufungia.
Modewjiblog iliweza kushuhudia posti ya msanii huyo iliyonukuliwa kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo ile ya twitter na Instagram, facebook na Whatsapp, kwa kile kilichoelezwa na msanii...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j9xIdemwbWo/VaU-5o4DcTI/AAAAAAAHppM/2CZaoLo2mrY/s72-c/_MG_6218.jpg)
UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-j9xIdemwbWo/VaU-5o4DcTI/AAAAAAAHppM/2CZaoLo2mrY/s640/_MG_6218.jpg)
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...