Ukraine:Hatimaye makubaliano yapatikana
Taarifa kutoka Ikulu ya Rais inasema kuwa makubaliano yamefikiwa katika mazungumzo ya usiku kucha kati ya serikali ,upinzani na wawakilishi wa Muungano wa Ulaya
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Jan
10 years ago
StarTV03 Oct
Hatimaye Katiba pendekezwa yapatikana.
KATIBA Inayopendekezwa kwa wananchi, imepatikana jana na kukamilisha sehemu kubwa ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba, ulioanzia katika ukusanyaji wa maoni ya wananchi. Jumatano ijayo, Oktoba 8, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, anatarajiwa kukabidhi katiba hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.
Hofu ya kutopatikana kura za kutosha za wajumbe kutoka Zanzibar, iliyokuwepo kwa muda mrefu tangu...
10 years ago
BBCSwahili07 Sep
Makubaliano ya amani yakiukwa Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili06 Sep
Makubaliano ya amani yaheshimiwa Ukraine
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Mifupa ya Dinosaria yapatikana TZ
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Almasi kubwa yapatikana Botswana
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Miili 3 yapatikana Amazon Brazil
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Miili 8 yapatikana mgodini A. Kusini
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Miili 5 yapatikana mgodini A. Kusini