Ulaji vyakula vya asili huzuia saratani’
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kula vyakula vya asili katika kujikinga na ugonjwa wa saratani, ambao hivi sasa umekuwa tishio duniani.
Mbali na hilo, pia wametakiwa kuepuka uvutaji wa sigara, ulevi wa kupindukia na kubadili aina ya maisha kama njia ya kukabiliana na ugonjwa huo.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, daktari bingwa wa magonjwa ya saratani wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk. Harrison Chuwa, alisema katika kipindi cha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Vyakula vya asili kunogesha Tamasha la Handeni Kwetu
BAADHI ya vyakula vya asili ya Handeni, vinatarajiwa kuwapo katika Tamasha la Utamaduni la Handeni Kwetu 2013 linalotarajiwa kufanyika Jumamosi kwenye viwanja vya Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Akizungumza mjini...
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Tamasha la vyakula vya asili lilivyofana Umbrella Garden jijini Arusha
Mratibu wa Sensa mkoa wa Arusha Bi.Magreth Martin akizungumza na wadau pamoja na wakazi wa jiji la Arusha waliofika kwenye tamasha hilo.
*Wafanyabiashara watakiwa kuanzisha kituo cha utalii wa chakula cha asili
Na Mwandishi wetu, Tanzaniasasablog
WAFANYABIASHARA wametakiwa kubuni mbinu mpya ya kutangaza sekta ya utalii nchini kwa kuanzisha vituo cha utalii wa vyakula vya asili ili kuvutia watalii wanaotembelea jiji la Arusha kujionea vyakula hivyo na hatimaye kupata mlo kamili wenye asili...
10 years ago
Mwananchi01 May
VYAKULA NA MAGONJWA: Ulaji unaofaa wa machungwa
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Vyakula vya kiasili: Matoke
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Mtemvu agawa vyakula vya mil.6/-
MBUNGE wa Temeke, Abbas Mtemvu amegawa vyakula vyenye thamani ya sh milioni sita kwa vituo 15 vya kulea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu wilayani Temeke jijini Dar es...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Vyakula vya kuepuka unapopunguza unene
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Vyakula vya kigeni vinavyopendwa Afrika
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Tamasha la vyakula vya Kihindi Jumapili
TAMASHA la vyakula vya Kihindi lenye lengo la kuongeza urafiki miongoni mwa Watanzania wanaovutiwa na vyakula hivyo linatarajiwa kufanyika viwanja vya Coco Beach jijini Dar es Salaam keshokutwa. Akizungumza na...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Vyakula vya watoto vyadaiwa kuwekwa dawa za kulevya