VYAKULA NA MAGONJWA: Ulaji unaofaa wa machungwa
>Kutokana na makala ya wiki iliyopita iliyohimiza watu kula matikiti na kutafuna mbegu zake, msomaji wetu mmoja alitaka kujua faida na hasara ya kutafuna mbegu za machungwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Feb
Ulaji vyakula vya asili huzuia saratani’
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kula vyakula vya asili katika kujikinga na ugonjwa wa saratani, ambao hivi sasa umekuwa tishio duniani.
Mbali na hilo, pia wametakiwa kuepuka uvutaji wa sigara, ulevi wa kupindukia na kubadili aina ya maisha kama njia ya kukabiliana na ugonjwa huo.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, daktari bingwa wa magonjwa ya saratani wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk. Harrison Chuwa, alisema katika kipindi cha...
10 years ago
Mwananchi14 Aug
VYAKULA NA MAGONJWA: Hatari ya kumnyonyesha mtoto maziwa ya kopo
10 years ago
Mwananchi29 Aug
VYAKULA NA MAGONJWA: Hadhari kwa watumiaji wa samaki, chipsi
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Mlo unaofaa kwa wanaofunga
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Magonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, na takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni.
Magonjwa haya ya moyo yanasababisha vifo vipatavyo idadi ya watu milioni 12 kwa mwaka duniani kote. Hata hivyo shirika la Afya...
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Bei ya Juisi ya machungwa imepanda kwa aslimia 20
10 years ago
Mwananchi31 Jan
‘Machungwa ya Tanga hayana sifa ya kuwa juisi’
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Zinakaribia siku za CCM kula gizani machungwa yaliyooza
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Kwa nini bei ya juisi ya machungwa katika soko la dunia imepanda?