Ulawiti; Kiongozi wa Malaysia miaka 5 Jela
Mahakama ya juu nchini Malaysia imekataa kubadilisha uamuzi wa mahakama ya chini dhidi ya kiongozi wa upinzani Anwar Ibrahim.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Dec
Polisi jela maisha kwa ulawiti
ASKARI Polisi mwenye namba G 9762 PC Daniel (24), amehukumiwa kifungo cha maisha jela, kulipa fidia ya Sh milioni mbili kwa mlalamikaji baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13.
11 years ago
GPL
MJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!
10 years ago
CloudsFM05 Dec
Wananchi wameedhimisha mwaka mmoja toka waondokewe na kiongozi wao Mzee Nelson Mandela ambaye aliiongoza nchi hiyo kutoka mikononi mwa Makaburu baada ya kufungwa miaka 27 jela.
Maadhimisho hayo yametanguliwa na ibada ya maombi ambapo wamekaa kimya kwa dakika tatu, na kisha kuweka mashada za maua wakiongozwa na wazee waliopigana na makaburu wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, kumekuwa na upulizaji wa vuvuzela nchini kote, kugonga kengele, ngoma, na kutakuwa na mechi ya mchezo wa kirafiki wa kriketi.
Mandela alikuwa Rais wa kwanza mzalendo kuiongoza Afrika Kusini kwa kipindi cha muhula mmoja wa miaka mitano kuanzia mwaka 1994 hadi 1999 alipoachia madaraka kwa...
10 years ago
Vijimambo10 Feb
MAPENZI YA JINSIA MOJA ANWAR, KIONGOZI WA UPINZANI MALAYSIA

Hatima ya kiongozi wa upinzani nchini Malaysia Anwar Ibrahim ni mwezi march mwaka huu iwapo atafungwa jela ama kuwa huru dhidi ya mashtaka yake ya kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Mahakama kuu ya Malaysia inatarajiwa kupitia rufani ya Anwar aliyekutwa na makosa ya kufanya mapenzi na msaidizi wake wa kiume mwaka 2008.
Hata hivyo Anwar mwenyewe anasema kuwa mashtaka haya dhidi yake ni sehemu ya kampeni za kisiasa kutaka kumpunguzia hadi yake zinazofanywa na chama tawala cha...
10 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
5 years ago
Michuzi
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
10 years ago
Habarileo03 Nov
Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua
MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.
11 years ago
GPL
HOSNI MUBARAK JELA MIAKA 3, WANAE MIAKA 4
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Mchungaji kiongozi KKKT jela kwa wizi