Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ULEMAVU SI KUTOJIWEZA, Aliyepuuzwa utotoni sasa ni seneta

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Seneta wa zamani wa Rwanda apata afueni

Seneta wa zamani nchini Rwanda aliyeshitakiwa makosa ya mauaji ya kimbari Anastase Nzi-ra-sa-na-ho ameshinda kesi yake ya rufaa.

 

10 years ago

Bongo5

George Weah achaguliwa kuwa seneta nchini Liberia

Mchezaji soka wa zamani wa nchini Liberia, George Weah amepata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa senate nchini humo. Weah – ambaye mwaka 1995 alikuwa mchezaji wa kwanza wa Afrika na wa mwisho kushinda tuzo ya Ballon d’Or kama mcheza soka wa Ulaya na aliyechezea timu za AC Milan, Paris Saint Germain na Monaco alimshinda […]

 

11 years ago

Michuzi

Gavana wa Mombasa County na Seneta watembelea "Live talk" ya VOA

Misa ya Sima na Gavana Joho in Voa 078Kutoka kushoto Seneta wa County ya Monmbasa Hassan Omar , Mtangazaji wa VOA Abdushakur Aboud , Gavana wa Mombasa County Ali Joho na waziri wa Vijana , Jinsia na Michezo wa County hiyo Hazel Koitabawalipotembelea kipindi maarufu cha "LIVE TALK " idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika-VOA Ijumaa Aprili 18,2014.Misa ya Sima na Gavana Joho in Voa 105Kutoka kushoto Waziri wa Vijana , Jinsia na Michezo katika County ya Mombasa, Katibu wa County Hamisi Mwaguya,Barbara Aron, Chanzera, mtangazaji wa VOA Aida Issa na Tuni Mwalukumbi...

 

10 years ago

Vijimambo

Seneta Mike Sonko kutoa Magari yake ya Bei kwa Maharusi.

Seneta wajiji la Nairobi, Mike Sonko ametangaza kutoa huduma ya bure ya usafiri kwenye harusi za wakazi wa Nairobi, Huduma hiyo aliizindua siku ya Ijumaa na Magari anayoyatoa ni pamoja na Marcedes 4 (New S Class Model),3 H2 Hummers na gari lake binafsi LandCruiser gold-plated.Seneta huyo asiyeishiwa na Vituko alisema "
Watu Wangu,
THE ESSENCE OF TRUE LEADERSHIP IS TO ADD VALUE to the lives of those you lead during your period in leadership.
I am kicking off this year by focusing more on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkutano kukomesha ndoa za utotoni

Umoja wa Afrika leo unaanza mkutano wa siku mbili utakaofanyika Zambia kukomesha ndoa za utotoni barani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mimba za utotoni janga la taifa

INGAWA asasi mbalimbali za serikali na zisizo za serikali zinapiga vita ndoa na mimba za utotoni, bado tatizo hilo ni kubwa katika  mikoa ya Mtwara na Lindi. Ripoti ya pili...

 

10 years ago

Habarileo

WAMA kuelimisha mimba za utotoni

Mama Salma KikweteMKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amesema katika mwaka huu Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama), itaendelea kujikita katika kuelimisha jamii kuzuia na kudhibiti mimba za umri mdogo hususani kwa wanafunzi wa shule za sekondari.

 

11 years ago

KwanzaJamii

KERO YA NDOA ZA UTOTONI ZAMBIA

Takriban wasichana milioni 14 million kote duniani wanalazimishwa kuolewa wakiwa wadogo Agnes, msichana wa miaka 17 aliozwa miezi mitatu iliyopita kwa mwanamme ambaye hakua anamfahamu hata kidogo. Anavyotusimulia Agnes, “Wazazi wangu walinikalisha na kuniarifu kuwa sikua jukumu lao tena. Walitaka nijitenge nao na kuanza maisha kivyangu.Mambo yalikwenda haraka kinyume na matarajio yangu wakati mwanamme huyo ambaye simfahamu alilipa mahari kwa wazazi wangu.” “Sikua na usemi wowote kwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa za utotoni janga Tanzania

Tanzania ni moja ya nchi zinaoongoza kwa mimba na ndoa za utotoni, kwa mujibu wa Shirika la Haki za Binadamu duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani