UMOJA WA MATAIFA KUJADILI UGONJWA WA EBOLA-BAN KI MOON
.jpg)
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) siku ya jumanne ambapo alitumia fursa hiyo kuainisha masuala mbalimbali yatakayopewa kipaumbele wakati wa Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaoanza wiki ijayo hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, jijini New York, Marekani. Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola ni moja ya suala litakalopewa kipaumbele cha pekee wakati wa mkutano huo utakaohudhuriwa na wa viongozi zaidi ya 140...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo
UMOJA WA MATAIFA KUJADILI MLIPUKO WA EBOLA

10 years ago
BBCSwahili20 Dec
Banki Moon ayatembelea mataifa ya ebola
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Umoja wa Mataifa kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo ya Maendeleo ya Millenia( MDGs)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula, lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Umoja wa Mataifa waonya hatari ya Ebola
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Ban Ki Moon ziarani Nigeria
11 years ago
BBC
10 years ago
BBCSwahili01 May
Ban Moon asikitishwa na mapigano Yemen
11 years ago
Dewji Blog29 Oct
Ban Ki Moon awafunda manesi na madaktari
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon.
Na Mwandishi wetu
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon amezitaka nchi duniani kuacha tabia ya unyanyapaa kwa madaktari na manesi waliofanya kazi katika nchi zilizoathiriwa na ugonjwa wa Ebola na kuwalazimisha kwenda karantini pindi warejeapo nyumbani.
Akizungumza katika mji mkuu wa Ethiopia Adiss ababa, Ban amewaelezea wafanyakazi wa namna hiyo kuwa ni wa kipekee mno, marafiki wazuri na si vyema kuwatenga.
Kauli hiyo inakuja baada ya...
10 years ago
Michuzi.jpg)
BAN KI MOON SALUTES PRESIDENT KIKWETE
.jpg)
“You’re Excellency,
I am Pleased to offer you and the Government and people of the United Republic of Tanzania my warmest congratulations on the occasion of the Union This year marks the 70th anniversary of the United Nations,...