Umoja wa Mataifa kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo ya Maendeleo ya Millenia( MDGs)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula, lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9OahfbjnnkM/VgToxzGtJrI/AAAAAAAH7Fg/n4ssZJ7o2VY/s72-c/unnamed.png)
UMOJA WA MATAIFA LEO KUANDIKA HISTORIA NYINGINE: Anjenda 2030 ambayo utekelezaji wake unaaza mwakani kuchukua nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Millenia( MDGs)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9OahfbjnnkM/VgToxzGtJrI/AAAAAAAH7Fg/n4ssZJ7o2VY/s640/unnamed.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-hPIPvvePRgM/VgTo0YE2d0I/AAAAAAAH7Fo/ZXsiBlAtUaE/s640/unnamed.jpg)
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
UN kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula, lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-XslRXUoLjDw/VgURtJb5MiI/AAAAAAAD9eM/eNe9VS1mADY/s72-c/Icons-FINAL.png)
UMOJA WA MATAIFA LEO KUANDIKA HISTORIA NYINGINE
![](http://2.bp.blogspot.com/-XslRXUoLjDw/VgURtJb5MiI/AAAAAAAD9eM/eNe9VS1mADY/s640/Icons-FINAL.png)
9 years ago
Habarileo25 Sep
Umoja wa mataifa kuandika historia nyingine
VIONGOZI wakuu wa nchi na serikali zaidi ya 150 kutoka mataifa mbalimbali duniani (leo) Septemba 25,watapitisha ajenda na malengo mapya ya maendeleo endelevu (Ajenda 2030) kuchukua nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) yanayomaliza muda wake mwishoni mwa mwaka huu.
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Dkt. Yamungu Kayandabila: “Sayansi ni muhimu sana katika kuyafikia malengo ya Agenda 2030”
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Yamungu Kayandabila akizungumza na wadau wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia katika mkutano maalum wa siku ya Sayansi Duniani. Kushoto kwake ni Afisa utawala na fedha wa UNESCO, Spencer Bokosha ambaye alimwakilisha Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO- Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa wizara hiyo jijini Dar e s Salaam Novemba 10.2015. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-QFmd-oIpTFU/VCAj0Ze7TnI/AAAAAAADFFY/yT23koEeeUY/s72-c/600230.jpg)
UMOJA WA MATAIFA KUJADILI MLIPUKO WA EBOLA
![](http://4.bp.blogspot.com/-QFmd-oIpTFU/VCAj0Ze7TnI/AAAAAAADFFY/yT23koEeeUY/s1600/600230.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bVzV-f0PzxE/VBlTwKyksEI/AAAAAAAGkCk/Wl6GWiZOHNM/s72-c/600230%2B(2).jpg)
UMOJA WA MATAIFA KUJADILI UGONJWA WA EBOLA-BAN KI MOON
![](http://3.bp.blogspot.com/-bVzV-f0PzxE/VBlTwKyksEI/AAAAAAAGkCk/Wl6GWiZOHNM/s1600/600230%2B(2).jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ztMSV6ukg9I/VfkA0CQnGiI/AAAAAAAD7pQ/axg1YahH8iQ/s72-c/tanzani-president-kikwete-jakaya.jpg)
JK KUELEZEA UMOJA WA MATAIFA MAENDELEO YA KAZI YA JOPO ANALOLIONGOZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ztMSV6ukg9I/VfkA0CQnGiI/AAAAAAAD7pQ/axg1YahH8iQ/s640/tanzani-president-kikwete-jakaya.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la Ngazi ya Juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Kiafya, anatarajiwa Ijumaa wiki hii, kueleza mbele ya wajumbe wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo ya kazi ya jopo hilo tangu kuundwa kwake.
Jopo la Ngazi ya juu kuhusu mwitiko wa Kimataifa wa majanga ya kiafya liliundwa mwezi wa nne mwaka huu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, ambapo Rais Kikwete...
10 years ago
Dewji Blog14 May
Mapato ya ndani yaimarishwe kufanikisha Malengo ya Millenia
Mkurugenzi wa kupunguza umaskini kutoka Wizara ya Fedha, Ana Mwasha (kulia) akifungua kongamano, linalojadili yaliyojiri katika Malengo ya Millenia na nini kinastahili kufanywa katika SDG’s ili kuhakikisha mafanikio katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF). Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF) Dk.Oswald Mashindano na Katikati ni Naibu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...