Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMOJA WA ULAYA WAISHTAKI KAMPUNI YA GOOGLE

Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Kampuni yaGoogle Inc. Lawrence "Larry" Page. Muungano wa nchi za Ulaya umeishtaki rasmi kampuni ya inayojihusisha na masuala ya kimtandao ya Google kwa matumizi mabaya ya soko lake kufuatia uchunguzi wa miaka mitano uliyofanya na taasisi za Muungano huo. Kamishna wa ushindani katika muungano huo wa Ulaya Margrethe Westager ameeleza wasiwasi wake kutokana na ripoti ya uchunguzi huo kwamba, kampuni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA UMOJA WA JAMHURI YA KOREA, UMOJA WA ULAYA NA PALESTINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), pamoja na Balozi Walter Stevens (Kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa na Usalama ya Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa katika mkutano huo. Kushoto ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katika Mkutano huo, pamoja na mambo mengine, vyombo hivyo viwili vilikubaliana kuendeleza ushirikiana zaidi katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro...

 

11 years ago

BBCSwahili

Google kufuta historia ya watu Ulaya

Kampuni ya Google inatarajiwa kuzindua huduma ambayo, itawawezesha raia wa Ulaya kuomba viambatanishi vya mitandao yenye taarifa kuhusu maisha yao kufutwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampuni ya Google yashtakiwa

Muungano wa Ulaya umeishtaki rasmi kampuni ya google kwa utumizi m'baya wa soko lake kufuatia uchunguzi wa miaka mitano.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasayansi wa kampuni ya Google: Wabuni magari yasiyotumia dereva

Inawezekana kuwa na magari yasiyokuwa na dereva? Kampuni ya mawasiliano ya kompyuta ya Google inasema ndiyo. Magari hayo yapo na yataongozwa kwa kutumia kompyuta pekee, huku yakiwa na uwezo mkubwa wa kuepuka au kutosababisha ajali barabarani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mchunguzi wa Umoja wa Ulaya aachiliwa

Mmoja wa wachunguzi wa muungano wa Ulaya waliokamatwa na wanamgambo wanaotaka kujitenga Sloviansk nchini Ukraine ameachiliwa huru

 

10 years ago

BBCSwahili

Umoja wa Ulaya na tatizo la wahamiaji

Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kufanya kazi pamoja kuweza kukabiliana na tatizo la wahamiaji.

 

10 years ago

Habarileo

Umoja wa Ulaya wavutiwa na Kigoma

MABALOZI kutoka Umoja wa Ulaya (EU) wameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya wananchi, inayofadhiliwa na umoja huo na wameahidi kuongeza misaada yao zaidi kwa mkoa wa Kigoma.

 

10 years ago

Mtanzania

Waangalizi Umoja wa Ulaya wawasili

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

 

UJUMBE wa waangalizi 34 wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU), wamewasili Dar es Salaam kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa uchaguzi mkuu.

Waangalizi  hao wanaungana na kundi kuu la EU EOM la watathmini wa uchaguzi  ambao waliwasili Septemba 11, mwaka huu.

Msafara wa  EU EOM nchini Tanzania, utaongozwa na Mbunge wa Bunge la Ulaya kutoka nchini Uholanzi, Judith Sargentini.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana na Ofisa Habari wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani