Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umoja wa Watanzania Ethiopia wapata uongozi mpya

 Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia akiwa na viongozi wapya wa Jumuiya ya Watanzania Ethiopia (UDUGU). Wa pili kushoto ni Dr. Naftali Kilenga ambaye amechaguliwa kuwa Mwenyekiti, na wa kwanza kulia ni Dr. Florence Temu, ambaye amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti. Wa kwanza kushoto ni Bw. E. Lubuva ambaye amechaguliwa tena kuendelea kuwa Katibu wa UDUGU. Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwa na Mwenyekiti Mpya Dr. Naftali Kilenga kushoto, na kulia kwake ni Bibi Josephine Marialle...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KOICA/KAAT) YAPATA UONGOZI MPYA

Na Saidi Mkabakuli Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea imefanikiwa kupata uongozi mpya, utaongoza umoja wa Watanzania hao kwa muda wa miaka miwili. Waliochaguliwa kuongoza KAAT ni pamoja na Bw. Stephen Katemba ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Jumuiya. Bw. Katemba atasaidiwa na Bw. Bukheti Juma (Makamu wa Rais, Zanzibar) na Bw. Emmanuel Burton (Makamu wa Rais, Tanzania Bara). Katika nafasi ya Uweka Muweka Hazina, aliyechaguliwa ni Bw. Stephen Matee, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA KRISMASI NA KHERI YA MWAKA MPYA KUTOKA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania unawatakia sikukuu njema wanajumuiya wote wa New York Tanzanian Community(NYTC).Tunakutakieni furaha katika sikukuu hizi,mapenzi pamoja na Afya njema,ni matumaini yetu kuwa mwaka tunaouaga ulikuwa ni mwaka wa kheri,mafanikio na baraka nyingi na kwa pamoja tunamuomba Mola aujaalie mwaka ujao 2015 uwe wenye mafanikio,Afya njema na adumishe umoja wetu ili tuendelee kushirikiana kama ambavyo tumeweza kufanya hivyo...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI WA VIONGOZI UMOJA WA WATANZANIA NORTH CAROLINA UTNC 2014, ANNA SIMTAJI MMANYWA NDIYE MWENYEKITI MPYA

Uchaguzi wa viongozi uliofanyika Jumamosi Novemba 1, 2014 na kuwachagua viongozi wapya wa jumuiya ya Watanzania North Carolina ambako aliyekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Geofrey Lipana alimaliza muda wake na kumkabidhi kiti Anna Simtaji Mmanywa ambaye atasaidiana na viongozi wenzake waliochaguliwa. Katika uchaguzi huo,  kura zilipigwa kwa wazi na kuandika historia mpya kwenye jimbo hilo la North Carolina. 
Mbali na Anna Simtaji Mmanywa viongozi wengine waliochaguliwa ni Katibu ni Mshobozi...

 

10 years ago

Habarileo

Wasioona Tabora wapata uongozi

CHAMA cha Wasioona mkoa wa Tabora kimepata viongozi wapya watakaokiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI MUHIMBILI ATEUA UONGOZI MPYA


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz             
Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
     STATE HOUSE,
             1 BARACK OBAMA ROAD, 
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na...

 

10 years ago

Vijimambo

UONGOZI WA JUU WA ACT WAPATA MAPOKEZI MAKUBWA SONGEA

Vingozi wa ACT-Wazalendo wakiangalia picha za makumbusho ya vita vya majimaji.Pikipiki ambazo ziliongoza mapokezi hayo zikiwa katika msafara.Viongozi wa Juu wa chama cha ACT wakiimba na kucheza jukwaani kwa furaha ya mapokezi makubwa waliyo yapata mkoani Songea.Zitto Kabwe akiwa jukwaani akisalimia wana Songea.
Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele, Mbunge Mtarajwa wa Jimbo la Morogoro Mjini, akiwahutubia wakazi wa mji wa Songea.Mwenyekiti Anna Mngwira, baada ya Kuzindua ofisi za Mkoa za...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wabunge wapata semina ya Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki

mof 1

Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji wa Uchumi Dkt. Mary Nagu akifungua semina ya Wabunge kuhusu Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jana katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum.

mof 2

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisisitiza umuhimu wa Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Wabunge katika semina iliyofanyika jana ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma.

mof 3

Mkurugenzi Msaidizi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa,Ethiopia

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipitia moja ya taarifa wakati akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa,Ethiopia leo.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani