Umri wa kuishi waongezeka
 Wastani wa umri wa kuishi kwa Watanzania umeongezeka kutoka miaka 50 kwa sensa iliyofanywa mwaka 1988 hadi kufikia miaka 61 kwa sensa ya mwaka 2012.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Ufaulu wa walimu waongezeka
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Mfumuko wa bei waongezeka
OFOISI ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula nyumbani na migawani umeongezeka Februari hadi asilimia 6.9 ukilinganishwa na asilimia 6.6 Januari mwaka huu. Akizungumza...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Ubakaji waongezeka Ilala
KILA siku wastani wa watoto watano wananajisiwa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kaimu Katibu Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Gladnes Munuo alisema hayo jijini...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Ubakaji waongezeka Pwani
JUMLA ya matukio 438 yameripotiwa mkoani Pwani kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita ambapo kati ya hayo 301 ni ya ubakaji ambayo yanaonekana kuongezeka. Akizungumzia juu ya utekelezaji wa masuala...
10 years ago
Habarileo02 Aug
Utumiaji dawa za kulevya waongezeka
MATUMIZI ya dawa za kulevya nchini yameongezeka kwenye mikoa 12 nchini yakionesha dawa aina ya heroini na bangi zikiongoza kwa kutumiwa zaidi.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Uingizaji shehena waongezeka bandarini
UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500 mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wanawake wanaokuwa watawa waongezeka UK
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Uandikishaji walemavu shule waongezeka
UANDIKISHAJI wa watoto wenye ulemavu katika shule za msingi wilayani Kilombero umeongezeka kutoka watoto 131 mwaka 2012 hadi watoto 160 mwaka jana. Hayo yamo kwenye taarifa ya utafiti wa pili...