Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umuhimu wa mikataba ya huduma kwa mwanachama

Mifuko itambue kwamba kuwa na mkataba wa huduma kwa wanachama, kutawezesha wanachama wao kujua mafao yanayotolewa, haki na wajibu wao ndani ya mifuko hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Umuhimu wa huduma kwa mteja

Biashara inahitaji watu waliokusudia kutoa huduma nzuri kwa wateja. Hii ni kutokana na ukweli kuwa wateja ndiyo nguzo kuu ya biashara ambazo mtu anafanya. Ndiyo maana tuna msemo maarufu wa Kiswahili usemao, “Mteja ni mfalme”.

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YATAMBUA UMUHIMU WA WATOA HUDUMA ZA AFYA.

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZOMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeipongeza Manispaa ya Ilala kwa kutoa huduma bora za afya kwa wanachama wa mfuko huo.
Akizungumza na waandishi wa habari, katika ufunguzi wa mkutano wa watoa huduma wa afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Masoko,Elimu kwa Umma na Utafiti Othuman Rehani (Pichani)amesema kwamba Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatambua mchango mkubwa unaotolewa na watoa huduma za afya kwa wanachama...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YAINGIA MIKATABA MINNE KUUNGA MKONO HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA VIJIJI NCHINI TANZANIA


Serikali ya Japan kupitia balozi wake nchini Tanzania Mh. Goto Shinichi Februari 28,2020 jijini Dar es Salaam imeingia mikataba minne tofauti katika muendelezo wa kuendelea kuunga mkono huduma za kijamii katika vijiji mbalimbali nchini Tanzania.

Serikali hiyo ya Japan ikiwakilishwa na Balozi Goto Shinichi imeingia mkataba wa kusambaza magari ya wagonjwa katika hospitali ya KCMC wenye thamani ya dola za Kimarekani 52,996.

Mkataba mwengine ni pamoja na kusaidia mazingira ya elimu katika wilaya...

 

11 years ago

Habarileo

Anayedaiwa mwanachama Al Shabaab apelekwa kwa DCI

MSHITAKIWA anayekabiliwa na kesi ya kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, Mussa Mtweve, amepelekwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kwa ajili ya mahojiano.

 

5 years ago

BBCSwahili

Bernard Membe: CCM yamfukuza mwanachama wake mwandamizi kwa 'makosa ya maadili'

Bernard Membe ni waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Walalamika mikataba kupelekwa kwa AG

Luteni Mstaafu Chiku GallawaUTARARIBU wa kupeleka mikataba yote ya miradi ya barabara yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 50 kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), umelalamikiwa kutokana na kukwamisha miradi ya barabara katika halmashauri za Manispaa za Mkoa wa Dodoma.

 

11 years ago

Michuzi

MAAFISA MAGEREZA KUTOKA NCHI MWANACHAMA WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA OFISINI KWA KAMISHINA JENERALI WA MAGEREZA

Maafisa Magereza au Taasisi zinazohusika na masuala ya urekebishaji kutoka Nchi Mwanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki,jana tarehe 26 Mei,2014 walitembelea ofisini kwa Kamishna Jenerali wa Magereza Ndg.John.C. Minja.Lengo kuu la ziara hiyo ni kubadilishana uzoefu katika Suala zima la uendeshaji wa Magereza pamoja na kujadiliana masuala ya Ulinzi na Usalama kwa Taasisi hizo. Picha ya Mbele ni Kamishna Jenerali wa Magereza John C Minja,Maafisa Wengine waliko katika sare ni ,wa kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani