UN yapeleka maafisa wake nchini Burundi
Baraza la usalama la umoja wa mataifa limeunga mkono mpango wa kutuma maafisa wake wa ngazi ya juu nchini Burundi kuokoa jahazi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili14 May
Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwanini Burundi imewatimua maafisa wa WHO?
5 years ago
BBCSwahili08 May
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Urusi yapeleka msaada nchini Ukraine
10 years ago
MichuziMAANDALIZI YA KILIMANJARO MARATHONI YAPAMBA MOTO,KLABU YA RIADHA YA HOLILI YAPELEKA WANARIADHA WAKE MAZOEZINI KENYA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Global Education Link (GEL) yapeleka wanafunzi 65 kusoma vyuo vikuu nchini China
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasindikiza wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global education link (GEL) Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja...
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Maafisa wa polisi washambuliwa Burundi
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
UN: Walaani kuuawa maafisa wake Somalia
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini