Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN yataka kipaumbele kumsaka binti mwenye albinism aliyetekwa

DSC_0019

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akimtambulisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) alipoitishia mkutano na waandishi wa habari jijini Mwanza mara baada kuhitimisha ziara zake Kanda ya ziwa. Kushoto ni Mshauri wa masuala ya haki za binadamu kutoka ofisi ya mratibu mkazi wa UN Tanzania, Bi. Chitralekha Massey.

Na Mwandishi wetu,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET KWA KAMPENI "BINTI THAMANI"

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Don Bosco Net, Celestine Kharkongor akizungumza na mwandishi wetu katika kituo cha Don Bosco Ostabay jijini Dar es Salaam kuhusiana na wasichana kutokubweteka na kukaa nyumbani kulea familia bila kuwa na mafanikio au ujuzi wao wenyewe kwaajili ya kujikwamua kiuchumi.Afisa Mipango wa Taasisi ya Don Bosco Net, Rosemary Njoki akizungumza  leo katika kituo cha Ostabay jijini Dar es Salaam.
TAASISI ya Don Bosco Net yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtoto wa kwanza mwenye albinism, awekwa mkono wa bandia Marekani

Kabula Nkarango Masanja (17) mwenye ulemavu wa ngozi, amerejea Tanzania akiwa na mkono wa bandia, baada ya mkono wake kukakatwa kutokana na imani za kishirikina.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ANNA ANDREA: Binti mwenye ndoto kisoka

KILA mtu kazaliwa na kipaji chake kinachomvutia kufanya kile anachokiona kinamfaa na sio kulazimishwa na kushinikizwa kupenda jambo ambalo hana malengo nalo. Hapa namzungumzia Anna Andrea (18), mchezaji wa mpira...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usikose kuperuzi modewjiblog katika mahojiano maalum na Mwanasheria mwenye ‘Albinism’ Dk. Ally Possi

DSC_0391

Mwanasheria mwenye Albinism Dk. Ally Possi akiwa ndani ya ofisi za modewjiblog.

Na modewji blog team

“JAMII  yenye ushirikina ndio yenye kuamini suala la mauaji ya watu wenye ulemavu wa  ngozi ambao wana alibinisimu, hivyo ilikuondoa imani hii potofu ni kutoa elimu katika maeneo yote na kuwalinda popote pale, Jambo hili ni jukumu letu sote” anaeleza Dk. Ally Possi.

Hata hivyo alibainisha kuwa, licha ya kuwapo kwa vitendo hivyo vya kikatili vikiwemo vya mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa...

 

11 years ago

Michuzi

BINTI SELITIAN NATA,MWENYE UVIMBE ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU

Na John Gagarini, Bagamoyo.   MSICHANA Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kiafya baada ya kuvimba mguu na kuwa kwenye maumivu makali.Ugonjwa huo uvimbe huo ulianza kama kipele kidogo miaka zaidi ya 10  iliyopita lakini kadiri siku zilivyokuwa zikienda ndipo uvimbe huo ulizidi kuongezeka na kufikia usawa wa mbavu.   Akizungumza na waandishiw ahabari ambao walimtembelea nyumbani kwao alisema kuwa uvimbe...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je ni kwa nini mama huyu alimuoa binti mwenye umri wa mwanawe?

Wakati walipoanza kuchumbiana, hawakujionyesha moja kwa moja kuwa wapenzi wa jinsia moja.

 

5 years ago

Michuzi

WALIOMSHAMBULIA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 12 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

WANAWAKE watatu akiwemo mama mlezi wa binti mwenye umri wa  miaka 12, Scholastica Charles (34) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumfanyia ukatili binti yake (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali.

Mbali na Scholastica, washtakiwa  wengine ni Salma Hamisi (25) na Happy Joshua (44), ambapo wote  ni wafanyabiashara wanaoishi Kitunda jijini Dar es Salaam.

Akisoma hati ya mashtaka leo,  Wakili wa Serikali...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Upendo Peneza: Binti mwenye fikra za Mandela, Biko, Nyerere, Bibi Titi

“KAMA miujiza ingekuwa jambo la hiari, ningeamua mara moja mimi niwe mwanachama wa ‘TANU Youth League,’ ili niwe miongoni mwa kina Nyerere, Sykes, Kawawa na wanasiasa wengi makini kama hao,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani