UNAAMBULIA MAUMIVU KILA UKIPENDA? SOMA
![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilo-EyV2nreTK8fOiI0uWhAHPhFkOBMxKl7EhlQ1VZmEulNN6FVU1PTaLgUHdCrEKkwn4oa4kpN4zviST3aZ99cb/mahaba.jpg)
HAPAWENGI sana wanaumizwa penzini, wanakutana na mtu na kutupa mapenzi yao yote lakini ndani ya muda mfupi wanaambulia maumivu. Wanasema labda siyo bahati yao, wanahamia kwingine lakini nako pia wanakuta yaleyale hapo ndipo baadhi yao wanapoanza kusema; oooh, mimi sina bahati, oooh labda sijapangiwa kuishi na mume au mke kwani anaona umri unazidi kuyoyoma pasipo kumpata mwenza wa maisha.Ndugu zangu, kuna kitu cha kujifunza katika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Si kila homa, maumivu ya kichwa ni Malaria
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iPu63cE5yCBxTGiKtLUhxcz8-c-ocOhwhTromu5krSahmFlY2wzkmzK4Hz7ARqH-4Y-LxhrY7xFqrCD2THxQwtCjrfq1hZlR/mahaba.jpg?width=650)
UKIPENDA PANAPOSTAHILI UTAONA THAMANI HALISI YA PENZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cs7bwBitUX5PReXCVHh6DCTgWYx-egnhhJQF256N8E1w*WLF2jdqvDr3UPv25wOUUDyXvHt9gbWAfoYeclIp0hU/MMM80.jpg)
UKIPENDA PANAPOSTAHILI UTAONA THAMANI HALISI YA PENZI-2
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-A0HnV7K6r0M/VcXE_XA49vI/AAAAAAAAXTQ/guYeKpgKPE0/s72-c/diamond.jpg)
10 years ago
VijimamboWAJUE MAMIXOLOGISTS AU UKIPENDA DRINK MASTERS WANAO TAMBA DMV
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Magufuli: Laptop kila mwalimu, milioni 50/- kila kijiji
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kutoa kompyuta mpakato (laptop) kwa kila mwalimu hapa nchini
Mwandishi Wetu
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Gwajima maumivu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
Ni maumivu. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kutoka Hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa kwa siku tano kwa kutumia baiskeli ya wagonjwa (wheelchair) kwenda Kituo cha Polisi Oysterbay kuhojiwa kwa mara ya pili.
Askofu Gwajima, alipandishwa kwenye baiskeli hiyo, baada ya kupelekewa na mmoja wa wafuasi ambaye alikuwa amevalia mavazi ya kichungaji.
Wakati akipelekwa katika gari Askofu Gwajima, alionekana...