Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKIPENDA PANAPOSTAHILI UTAONA THAMANI HALISI YA PENZI-2

Katika somo lililopita kama nilivyogusia ushauri wa Brandon King na makala yake ya “Be aware of heart” nilieleza kuwa ni kosa kubwa kumuona mwenzi wako ana thamani ndogo na wakati huohuo ukawa unatoa kipaumbele kwa watu wa pembeni. Tafsiri inayotawala katika uhusiano ni kuwa kundi linalosumbua mno na kuonekana ni sugu kwa tabia ya namna hii ni lile ambalo linawahusisha memba wanaoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UKIPENDA PANAPOSTAHILI UTAONA THAMANI HALISI YA PENZI

KILA mtu angeyaheshimu mapenzi, angejua jinsi ya kulinda hisia za mwenzi wake, angeelewa maana ya kupenda. Asingekuwa na shaka pale anapopendwa. Angeishi ndani ya mwenzake, hivyo kuumizana kusingekuwepo, migogoro mikubwa na kuachana isingetokea. Migogoro mingi inatokea kwa sababu wengi wameyageuza mapenzi kama mchezo (game), hawajui kuwa saikolojia inaonya vitendo vya kuucheza shere moyo wa mtu. Kumfanyia hivyo mtu mwenye hisia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zawadi huongeza thamani ya penzi

ASALAM Aleykum msomaji wa Urafiki na Mahusiano. Nakukaribisha katika safu hii ili tuweze kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mapenzi lengo likiwa ni kustawisha mahusiano kwa wapendanao. Leo tutazungumzia nafasi ya zawadi katika...

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

KWA NINI  HIJA MOJA HALISI IKO KIGOMA?
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukistaajabu ya Kikwete utaona ya Sitta

BAADA  ya kumdhalilisha, kumvizia na kumhujumu Jaji Joseph Warioba, na tume yake, wengi tulidhani Chama Cha Mapinduzi (CCM), lau, kingeona aibu na kuona inatosha. Lakini wapi! Wameonja asali sasa wanataka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukistaajabu ya Nkamia utaona ya Mwigulu

NIMEJITAHIDI kadiri ya uwezo wangu kujizuia nisijadili kabisa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete, lakini nimeshindwa. Nasema nimeshindwa kutokana na jina la Juma Nkamia,...

 

10 years ago

GPL

UNAAMBULIA MAUMIVU KILA UKIPENDA? SOMA

HAPAWENGI sana wanaumizwa penzini, wanakutana na mtu na kutupa mapenzi yao yote lakini ndani ya muda mfupi wanaambulia maumivu. Wanasema labda siyo bahati yao, wanahamia kwingine lakini nako pia wanakuta yaleyale hapo ndipo baadhi yao wanapoanza kusema; oooh, mimi sina bahati, oooh labda sijapangiwa kuishi na mume au mke kwani anaona umri unazidi kuyoyoma pasipo kumpata mwenza wa maisha.Ndugu zangu, kuna kitu cha kujifunza katika...

 

10 years ago

GPL

JAMANI, USIPOYAJUA MAPENZI UTAONA USUMBUFU

Sikila mwanaume anajua maana ya kupendwa, wengine huona kufanya baadhi ya vitu ni usumbufu. Kwa mfano kuoshwa, kulishwa, kufanyiwa usafi wa sehemu za siri, kuvuliwa nguo au kubebwa mgongoni wanaume wengi huona usumbufu na hii hutegemea na makabila. Jamanii, makubwa madogo yana nafuu, wakati  watu wanalilia mapenzi kwa wenza wao kuna ambao wanaona eti ni usumbufu. Hii ilitokea juzi baada ya mtu na mkewe kuletana kwangu...

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA DIAMOND ANAITWA TIFFAH AU UKIPENDA LATIFAH

DIAMOND akifurahi na mtoto wake wa kike Tiffah

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani