JAMANI, USIPOYAJUA MAPENZI UTAONA USUMBUFU
![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1ZX4uOdCnV2Xf7Exq7WcUTH8qdEkwaTM*1TKK0ek1WPkQFtregktAzcxpJJH9eM-uFRypq*Q*lNJp0X05VT*7PL/mariamenounostwitterwallpaper.jpg?width=650)
Sikila mwanaume anajua maana ya kupendwa, wengine huona kufanya baadhi ya vitu ni usumbufu. Kwa mfano kuoshwa, kulishwa, kufanyiwa usafi wa sehemu za siri, kuvuliwa nguo au kubebwa mgongoni wanaume wengi huona usumbufu na hii hutegemea na makabila. Jamanii, makubwa madogo yana nafuu, wakati watu wanalilia mapenzi kwa wenza wao kuna ambao wanaona eti ni usumbufu. Hii ilitokea juzi baada ya mtu na mkewe kuletana kwangu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Ukistaajabu ya Nkamia utaona ya Mwigulu
NIMEJITAHIDI kadiri ya uwezo wangu kujizuia nisijadili kabisa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete, lakini nimeshindwa. Nasema nimeshindwa kutokana na jina la Juma Nkamia,...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Ukistaajabu ya Kikwete utaona ya Sitta
BAADA ya kumdhalilisha, kumvizia na kumhujumu Jaji Joseph Warioba, na tume yake, wengi tulidhani Chama Cha Mapinduzi (CCM), lau, kingeona aibu na kuona inatosha. Lakini wapi! Wameonja asali sasa wanataka...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cs7bwBitUX5PReXCVHh6DCTgWYx-egnhhJQF256N8E1w*WLF2jdqvDr3UPv25wOUUDyXvHt9gbWAfoYeclIp0hU/MMM80.jpg)
UKIPENDA PANAPOSTAHILI UTAONA THAMANI HALISI YA PENZI-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iPu63cE5yCBxTGiKtLUhxcz8-c-ocOhwhTromu5krSahmFlY2wzkmzK4Hz7ARqH-4Y-LxhrY7xFqrCD2THxQwtCjrfq1hZlR/mahaba.jpg?width=650)
UKIPENDA PANAPOSTAHILI UTAONA THAMANI HALISI YA PENZI
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Usumbufu wa malori Dar kuwa historia
9 years ago
MichuziHUDUMA ISIYOKUWA NA USUMBUFU YA MAWASILIANO YAZINDULIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-7rpa37c6SCY/Vl7K4UJiH2I/AAAAAAAIJuc/_PAl6p0-Wus/s1600/image004.png)
Ni huduma ya Vodacom Red Inayotoa ofa nafuu na maalumu kwa wateja.
KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo imezindua huduma mpya inayojulikana kama Vodacom Red ambayo imewalenga wateja wake wote wanaonunua muda wa maongezi kabla ya kupata huduma za mawasiliano ambayo ni bora zaidi,ina unafuu wa gharama na yenye...
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Wakili aidai Fastjet Sh60 mil kwa usumbufu
9 years ago
Bongo Movies28 Oct
Uzushi Kuwa Irene Uwoya Amefariki Wasababisha Usumbufu Mkubwa Kwenye Familia
Taarifa za uzushi zilizoandikwa jana kwenye Facebook kuwa muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amefariki, zinadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia yake.
Uzushi huo umekanushwa na kulaaniwa vikali na muigizaji mwenzake, Jacob Stephen aka JB.
“Ndugu zangu jana kupitia akaunti feki ya facebook kuna mtu alitoa picha yangu nikilia na kusema Irene Uwoya amefariki,” ameandika JB kwenye Instagram.
“Habari hii ya uongo ilileta shida kubwa katika familia yake na watu wa karibu. Leo tena...