Wakili aidai Fastjet Sh60 mil kwa usumbufu
Wakili wa kujitegemea, John Mhozya amefungua kesi ya madai ya zaidi ya Sh60 milioni dhidi ya Shirika la Ndege la Fastjet katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Singida waokoa Sh60 milioni za sherehe
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Waziri Mwakyembe awapongeza FastJet kwa huduma nzuri kwa wateja
Wafanyakazi wa kampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa Uchukuzi Mh.Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani.
Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya ndege ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
Waziri wa Uchukuzi HarrisonMwakyembe...
10 years ago
TheCitizen29 Mar
TRL’s Sh60 billion Wagons deal sealed without any checks
11 years ago
Mwananchi18 May
Aidai halmashauri Urambo Sh500 milioni
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Mlinzi aidai shule Sh105 milioni
10 years ago
Vijimambo24 Jan
Diwani aidai CCM fidia ya bilioni nne
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/bujugo-jan22-2015(1).jpg)
Diwani wa CCM kata ya Magomeni Dar es Salaam, Julian Bujugo, amekishtaki chama hicho akitaka kimlipe fidia ya Shilingi bilioni nne kwa kumsababishia hasara.
Bujugo, aliwaambia wanahabari kuwa amefungua shauri la madai na mlalamikiwa ni Jumuiya ya Wazazi ya CCM.
Alisema hatua hiyo inatokana na jumuiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Abdallah Bulembo, ‘kumpora’ Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole cha mjini Bagamoyo, ambacho ni mali ya jumuiya hiyo.
Hata...
11 years ago
Habarileo19 Jun
Wakili kizimbani kwa kumjeruhi 'housegirl'
WAKILI wa kujitegemea, Yasinter Rwechungura (44) amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujeruhi mfanyakazi wake wa ndani.
10 years ago
Habarileo09 Apr
Wakili: Gwajima yupo tayari kwa mahojiano
MAHOJIANO baina ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na Polisi yanatarajiwa kuendelea leo katika Kituo Kikuu cha Polisi, jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Usalama ni muhimu zaidi kwa Fastjet!
Ndege ya Fastjet FJA FN141 inayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Mwanza, ikiwa imebeba abiria 142 iliruka kutoka airport ya kimataifa ya Julius Nyerere mida ya takribani saa 12:49 asubuhi siku ya Alhamisi ya tarehe 4 Disemba 2014.Muda mfupi baada ya ndege kuruka chombo hicho kilikumbana na ndege aliyekuwa akiruka. Kama sehemu ya maangalizi rubani wa ndege hiyo aliamua kugeuza safari na kurudi katika uwanja wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Ndege ilitua salama bila kashikashi zozote...